VIDEO: Hili lilimshinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hata Magufuli. Rais Samia apongezwe

Hii ID nilikuwa na tentative guess..

Ila sasa najipa imani nilichokuwa nakihisi ndio chenyewe.
 
Ww Elimu unesomea wap mkuu....?
Mbona ww n mpuuzi sana.
 
Bila Magu Kuanzisha Mama Asingeweza hata kusubutu kuanzisha.
Na kama kwel anaweza aanzishe mradi wake mwenyewe.
 
We kweli POPOMA mkuu.
Huu mradi aliuanzisha nani kama sio MAREHEMU JOHN POMBE MAGUFULI!?
Kwanini umpe sifa Samia!?
Punguza uchawa.
 
Tz inaviraza wengi ww
Tz inavizara wengi ww kenya huwezi ishi Jiulize kipindi cha nyerenyere alibinaifisha Migodi, Gesi, Mbuga na Bandari? Nyerere kwa watu wema nizaidi ya ujuavo huo mradi na pesa iliyokopwa hauendani hata kidogo kwa kuwa upo upo endelea hivyo na sijui umri wako basi tu
 
Ubia unafaida zaidi kuliko hasara
 
Mama mitano tena
 
Hawa ndo wale wanaohongwa sukaro ¼ ili wapige kura
 
1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.

Mengine yote porojo.
Unafungua kwa uongo unafunga kwa uongo
 
Kukopa je?
 
Hii nchi ina vijana wa hovyo sana, anaorambaramba matako ya Wanawake waliozeeka vibaya.
 
Ningesifia ingekuwa kwa hela zetu wenyewe, au kwa teknolojia yetu wenyewe. Vyoote ni mikopo. Kila mtu aweza kuchukua mkopo akimwahidi mkopeshaji kitu anachopenda!
 
Acheni uongo, Miradi ya bwawa la umeme ilijumuisha mashine, na Ndege ziliishalipiwa Magufuli aliisha lipa zilikuwa zinasubiliwa kutengenezwa na kuletwa.
Machwa mtatumbuliwa na mtakufa bure.
 
Mfano wa Mkataba mbovu ni Upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…