VIDEO: Hili lilimshinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hata Magufuli. Rais Samia apongezwe

Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,

Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?​
Mungu ambariki sana Mzee Magufuli huko alipo
 
Kweli hii nchi inawajinga jamani. Mjinga namba moja ni wewe. Na kama una wazazi basi wajue wamezaa mjinga anayetembea
 
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,

Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?​
Kazi iendelee
 
Sijisumbui kupiga kura sio mwenyekiti diwani au mbunge au rais anaepita apite tu sipotezi muda wangu kabisa POLITIC IS A DIRTY A GAME
 
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,

Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?​
Mama Samia anastahili pongezi
 
1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.

Mengine yote porojo.
Kufuta BIMA kwa watoto SAMIA
 
Lakini hebu tuwe wakweli mtu kachukua mradi ukiwa 35%,

Hivi unajua hii hata nusu ya Mradi ilikuwa bado?
Anayetakiwa kusifiwa ni aliye thubutu kuanzisha jambo lililokuwa haiwezekani toka Nyerere mpaka Kikwete. Angekuwepo Mzee Baba Magufuli sasa hivi hili Bwawa na Miradi mwingine ya kimkakati ingekuwa imeshakamilika kwa 100% angekuwa kabuni mingine ambayo haimo kwenye Ilani ya chama.

Mama kwa uwezo wake kajitahidi japo wapigaji wametamalaki wamemzidi nguvu na hawawezi. Matokeo yake anauza kila anachokiona ili apate pesa za kumalizia Miradi.

Ingekuwa Miradi hii haijaanzishwa as ingekuwa na thubutu wa kuanzisha maana ina kelele nyingi toka Duniani. Na muombea apate 5 ya kwake tuone kama atabuni mradi wowote wa maana!
 
Kina muda tupuuze mada za namna hii, mjingi hapaswi kujibiwa... Akikosa reaction ndio atatafuta makosa yako wapi.
 
1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.

Mengine yote porojo.
✍🏿✍🏿🙌
 
Mk
1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.

Mengine yote porojo.
Mkuu KIA imeuzwa🥵
 
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,

Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?​
Viva Samia Viva
 
1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.

Mengine yote porojo.
Nani aliemaliza hiyo miradi ni Samia.
Kama asingefanya juhudi kuimaliza mgesema nini.

Mama Samia kafanya kazi ya kumalioza miradi yoye mikubwa na kuleta mipaNGO YA MAENDELEO.
hAKUNA KILICHO UZWA.
 
Hua tunaangalia MasterPlan.. wanaoendeleza hua wanafata maandishi tu kama unavyotumia Location apps kwenye gari.
 
Uongo mbaya, Samia kajitahidi sana kukamilisha miradi ya kimkakati ya Magufuli. Kama asingekomaa vya kutosha bwawa la Umeme la Stieglers lisingekamilika na Reli ya SGR isingepata push ya kutosha.

Hata ndege ameendelea kuleta nyingi tu!

Apewe maua yake!

Bi Mkubwa popote ulipo pokea pongezi kutoka kwangu ( Missile of the Nation) ila sasa:

1. Acha kuingia mikataba mibovu ya kugawa rasilimali za nchi kama vile ardhi, bandari, misitu etc

2. Punguza safari
3. Zuia mara moja mambo ya wasiojulikana yaliyoanza kurejea, yanakuchafua.
4. Tuletee katiba nzuri ili iwe ni legacy yako bora
Siku ya leo, kwa ujasiri wa kuwatumbua waliohalifu protocal ya taasisi ya urais, 95% atapata kura yangu 2025. Nilikuwa simkubali leo nimejiridhisha nilikuwa simwelewi tu, yuko vizuri sana.
 
1. Umeme ni Magufuli
2. SGR ni Magufuli
3. Kuuza Bandari Samia
4. Kuuza KIA Samia
5. Kuuza Misitu Samia
6. Kuuza Ngorongoro Samia
7. Kuuza Ardhi ya Tanganyika Samia.

Mengine yote porojo.
Umeanza uongo mbuga aliuza Mwinyi
Kia kauza mkapa
Misitu wote wameuza (kasoro Jiwe)
Chuki binafsi hizi
Kuiba tausi wa ikulu mwendazake
 
Tunaweza kubishana juu ya mambo mengi ila hatuwezi kubishana juu ya utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mtakubaliana na Mimi kuwa Mradi huu uliwashinda akina Mzee Julius Nyerere, Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete hata John Pombe Magufuli wakati anafariki akiwa madarakani kwa miaka zaidi ya mitano aliutekeleza kwa 35% tu,

Maajabu ni haya, Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka mitatu tu kazi IMEKWISHA mnadhani kwanini Watanzania tusimpongeze Mama na kumtia moyo kuelekea 2030?​
Samia ni Rais wa mfano Africa nzima
 
Back
Top Bottom