VIDEO: Huko Mauritania bado kuna biashara ya kichini chini ya kuuza watumwa

VIDEO: Huko Mauritania bado kuna biashara ya kichini chini ya kuuza watumwa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870

Screenshot_20250914-104737.png
 
Utumwa na utwana ni moja ya culture za kiarabu kama ilivyo kwetu waafrika kutambika. Hata wasichana wanaokwenda kufanya kazi uarabuni huitwa watumwa. Utasikia mwarabu anasema ''tutafute mtumwa wa kufanya shughuli za hapa nyumbani''. Halafu wao huona kuwa mwafrika ni kiumbe asiye binadamu kamili.
 
Bei gani kama uyo? Unamchukua mazima au unamkodi? Uyo anakua mzazi wake anamuuza binti au?
Kuna wale wanaouza mtumwa alie kuwa naye .

Wengine wanauza wale waliowakamata vitani au wakimbiizi (mfano libya)

Wengine wanauza mabinti zao walioshindikana wakaolewe huko wamuondoleee aibu
 
Suala la utumwa kwenye biblia ni halali. Mtumwa kwenye biblia amechukuliwa kama kitu na sio mtu. Kulingana na biblia mtu akimuua mtu anastahili kifo ila akimuua mtumwa ataadhibiwa tu adhabu za kawaida. Kabla ya kulaumu waislamu tujue kwenye ukristo utumwa ni halali.
 
Back
Top Bottom