Umejibu vizuri Sasa marejeo gani unafata na yapi hufat kutoka agano la kale?
Torati ina simamia sheria hata pale ambapo kulikuwa na nafasi ya subira yenyewe itaamuru kwasababu ni sheria ya binadamu (MUSA). Agano jipya ni msingi wa neema na ukweli kutokana na mafundisho ya Yesu.
Mfano,aganao la kale: “Jicho kwa jicho, jino kwa jino” (Kutoka 21:24). Ila agano jipya: Yesu alisema, “Lakini Mimi nawaambia: msimlipize mabaya mtu mwovu… mgeuzie shavu lingine” (Mathayo 5:38–39).
So agano la kale linahimiza kisasi kupata haki agano jipya linahimiza subira, uvumilivu na upendo katika haki.
Kwenye agano la kale: "Israeli ni taifa teule, mataifa mengine wako nje" (Kumbukumbu la Torati 7:6).
Kwenye agano jipya: "Wokovu ni kwa kila kabila, lugha, taifa na jamaa” (Ufunuo 5:9).
Agano la kale : Dhabihu za wanyama kila siku kwa ajili ya dhambi (Mambo ya Walawi 4, Walawi 16).
Agano jipya: “Kristo alitolewa mara moja kuondoa dhambi za wengi” (Waebrania 9:28).
Kwamba hakuna haja ya kufanya tena kafara za wanyama kumtolea sadaka MUNGU yesu ndio alikuwa kafara ya mwisho haitakiwi tena kafara kumtolea MUNGU dhabihu.
Agano la kale: Sheria kali kuhusu vyakula, usafi na ibada hekaluni (Walawi 11, Hesabu 19).
Agano jipya: “Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu kinachoweza kumtia unajisi… bali kinachotoka ndani” (Marko 7:15).
Tafsiri ya unajisi na ubatili. Ila kuna watu wanafuata hizi sheria na kuzitilia mkazo ila hapa unaonyesha kuwa unaweza nje ukajiweka msafi ila matendo kutoka kwako yakawa ni sumu kali na hatari.
Hapa wavaa kobazi wanajua msingi wa hili neno. Wanakataa kula kiti moto ila analamba nyuchi ya mwanamke,anagonga wake za watu na kula tigo. Ila wakienda masjidi kila saa kunawa ili kuingia nyumba ya ibada na fikra kuwa ni wasafi ila matendo yamejaa najisi katika jamii. (Mfano tu sitaki marumbano mimi pia ni ustaadhi😂).
Agano la kale: Mungu aliagiza vita na maangamizi ya mataifa (Yoshua 6, 1 Samweli 15).
Agano jipya: Yesu alifundisha amani na upatanisho, “Wapendeni adui zenu” (Mathayo 5:44).
So kwa kifupi, agano la Kale linaweka msingi (sheria, hukumu, ahadi) wakati agano Jipya linatoa utimilifu (neema, msamaha, wokovu kwa Yesu).