VIDEO: Huko Mauritania bado kuna biashara ya kichini chini ya kuuza watumwa

VIDEO: Huko Mauritania bado kuna biashara ya kichini chini ya kuuza watumwa

Umeshindwa kuelewa swali unaishia kupanik... kilaza mkubwa wewe.
Nimeshindwa kuelewa swali au umeshindwa kuuliza maswali? Unaandika upuuzi halafu unataka niuelewe?

Ungekuwa unajua ulichoandika ungebadili swali ila kwasababu haujui ulichoandika unakimbilia kusema sijakuelewa,mimi nisikuelewe kwani umeandika kichina?
 
wazungu wana utu mjuba, huwezi kuwalinganisha na waarabu
Huna akili , watu Wenye utu wanaweza kuwaweka binadamu wenzao makumbusho kwenye cages watu wanawatizama live kama wanyama ?
 
Back
Top Bottom