Ukiwaambia wanajawa povu na kusema unawapondea kidini. Hawa jamaa waarabu hawajawahi kumtazama mwafrika kama mwenzao. Nenda kwa wazungu utaoa binti zao na watakurithisha mali zao na hata kukuweka katika biashara zao kama mwanafamilia.Utumwa na utwana ni moja ya culture za kiarabu kama ilivyo kwetu waafrika kutambika. Hata wasichana wanaokwenda kufanya kazi uarabuni huitwa watumwa. Utasikia mwarabu anasema ''tutafute mtumwa wa kufanya shughuli za hapa nyumbani''. Halafu wao huona kuwa mwafrika ni kiumbe asiye binadamu kamili.
Hao hawakuwa watumwa (slaves) bali walikuwa mateka (hostages).kasome entebe raid/operation entebe
Kwa hiyo wewe umeangalia kwenye hiyo angle ya kuoana tu? Ushenzi wa wazungu ni mwingi mara elfu ya waarabu. Wazungu ni chanzo cha maovu mengi.Ukiwaambia wanajawa povu na kusema unawapondea kidini. Hawa jamaa waarabu hawajawahi kumtazama mwafrika kama mwenzao. Nenda kwa wazungu utaoa binti zao na watakurithisha mali zao na hata kukuweka katika biashara zao kama mwanafamilia.
Nenda kwa wachina mtafanya biashara na mtagawana faida bila shida. Ila muarabu anataka akae kiti kirefu wewe kifupi ili akuongeleshe juu ya utosi.
Waarabu ukioa binti yule wa kiarabu pure ni labda umtoroshe na ukijaribu familia yake watawatafuta hata miaka 100. Kwa sheria zao za kiarabu wanatakiwa kumuua huyo binti (honor killing).
Ila wavaa kobazi wakiwaona sasa hawa watu dah hadi wanadinda kwa namna wanawatukuza na kuwalamba nyayo zao wakiamini ni binamu zao.
kuna uzi nilikuwa najibu, sio huuHao hawakuwa watumwa (slaves) bali walikuwa mateka (hostages).
Ni vitu viwili tofauti kabisa.
Rekebisha hapo mkuu,Suala la utumwa kwenye biblia ni halali. Mtumwa kwenye biblia amechukuliwa kama kitu na sio mtu. Kulingana na biblia mtu akimuua mtu anastahili kifo ila akimuua mtumwa ataadhibiwa tu adhabu za kawaida. Kabla ya kulaumu waislamu tujue kwenye ukristo utumwa ni halali.
wazungu wana utu mjuba, huwezi kuwalinganisha na waarabuKwa hiyo wewe umeangalia kwenye hiyo angle ya kuoana tu? Ushenzi wa wazungu ni mwingi mara elfu ya waarabu. Wazungu ni chanzo cha maovu mengi.
Kwa hiyo biblia hii ni ya wayahudi?Rekebisha hapo mkuu,
Mtumwa ni halali kwa wayahudi sio wakristo.
Ukristo unasimamiwa na injili
hata lile dini lao ni la kuwaachia, hawana utu viumbe haoUkiwaambia wanajawa povu na kusema unawapondea kidini. Hawa jamaa waarabu hawajawahi kumtazama mwafrika kama mwenzao. Nenda kwa wazungu utaoa binti zao na watakurithisha mali zao na hata kukuweka katika biashara zao kama mwanafamilia.
Nenda kwa wachina mtafanya biashara na mtagawana faida bila shida. Ila muarabu anataka akae kiti kirefu wewe kifupi ili akuongeleshe juu ya utosi.
Waarabu ukioa binti yule wa kiarabu pure ni labda umtoroshe na ukijaribu familia yake watawatafuta hata miaka 100. Kwa sheria zao za kiarabu wanatakiwa kumuua huyo binti (honor killing).
Ila wavaa kobazi wakiwaona sasa hawa watu dah hadi wanadinda kwa namna wanawatukuza na kuwalamba nyayo zao wakiamini ni binamu zao.
Topic ni inchi ya Mauritania ambayo ni ya kiarabu kuruhusu hiyo kitu na hata ukienda Saudi Arabia,Iraq,Libya ambazo ni watu wa jamii moja habari ni ile ile.Kwa hiyo wewe umeangalia kwenye hiyo angle ya kuoana tu? Ushenzi wa wazungu ni mwingi mara elfu ya waarabu. Wazungu ni chanzo cha maovu mengi.
Hapa Duniani hakuna jamii ilostaraabika sema tunapishana vipaumbele katika uovuTopic ni inchi ya Mauritania ambayo ni ya kiarabu kuruhusu hiyo kitu na hata ukienda Saudi Arabia,Iraq,Libya ambazo ni watu wa jamii moja habari ni ile ile.
Mimi sitetea wazungu but naongelea swala la kistaarabika na kuchangamana na jamii nyingine wapo vema. Ndio maana huko Ulaya na marekani waarabu,waafrika,wachina wamejaa tele na wanaishi kwa uhuru na kuoa au kuzaa na wanaetaka.
Nenda wewe tu hapo kwa mfano hapo Libya halafu uteletee ripoti ya uchangamano. Kwasababu wanakutazama kama mtumwa kwao na ni takataka.
Watu wengi sana weusi wameoa wazungu na wachina na wanaishi nao kawaida. Ila ni nadra sana kukutana na couple ya mwafrika na muarabu pure tena yule anaeishi uarabuni au muhindi pure ameoana na mwafrika pure.
Wazungu wabaguzi wapo ila wana aibu sana siku hizi sababu ya mabadiliko ya sheria za usawa na kutambua haki za kibinadamu na kupiga vita ubaguzi wa rangi.
South Africa hapo tu ni mfano, ubaguzi ulikuwa mkali ila sasa makaburu wamekuwa wapole wanaridhia watoto wao wa kizungu kuolewa na waafrika.
Sasa wewe unataka kubadili mjadala hapa ionekane mimi nataka ligi za kitoto wakati tunazungumza mambo serious yanayotokea katika jamii. Mimi sio wakili wa wazungu kuwa nawatetea kwani hayo mataifa ya magharibi si kila siku ninawaponda hapa kuhusu ushoga, na mambo mengine ya hovyo ?
Sasa wewe unaanzisha sijui mjadala gani hapa.
Kila binadamu ana utuwazungu wana utu mjuba, huwezi kuwalinganisha na waarabu
Injili Gani?Rekebisha hapo mkuu,
Mtumwa ni halali kwa wayahudi sio wakristo.
Ukristo unasimamiwa na injili
Agano la kale ni kabla ya Ukristo.Kwa hiyo biblia hii ni ya wayahudi?
Mathayo, Luka, Marko na Yohana.Injili Gani?
Hawa mbuzi hawajui chochote kuhusu biblia 😂🤣Agano la kale ni kabla ya Ukristo.
Wakristo ni wafuasi wa kristo,
Kristo anqpatikana kwenye Agano jipya