Utumwa na utwana ni moja ya culture za kiarabu kama ilivyo kwetu waafrika kutambika. Hata wasichana wanaokwenda kufanya kazi uarabuni huitwa watumwa. Utasikia mwarabu anasema ''tutafute mtumwa wa kufanya shughuli za hapa nyumbani''. Halafu wao huona kuwa mwafrika ni kiumbe asiye binadamu kamili.
Bei gani kama uyo? Unamchukua mazima au unamkodi? Uyo anakua mzazi wake anamuuza binti au?Its real shit.
Kuna wale wanaouza mtumwa alie kuwa naye .Bei gani kama uyo? Unamchukua mazima au unamkodi? Uyo anakua mzazi wake anamuuza binti au?
Fafanua mkuuWaliwahi kuja uganda na kufanya yao zama za iddi amini
Kwenye biblia mtumwa amechukuliwa kama vile chombo cha kazi. Hana hadhi ya ubinadamu kamili.Kama Sheria yao inaruhusu na si dhambi hakuna tabu yeyote , maana hata Bible ili ruhusu na kukupa promo utumwa.
Tena ukisoma maandiko ya Bible kusuhu watumwa ni ya kikatili sana na yanahuzunisha kwa kweli.Kwenye biblia mtumwa amechukuliwa kama vile chombo cha kazi. Hana hadhi ya ubinadamu kamili.
kasome entebe raid/operation entebeFafanua mkuu
Naifahamu sana Sasa nataka konekshen ya biashara ya utumwa ya Mauritania na hicho ulichoandika.kasome entebe raid/operation entebe
mjuba, nimekomenti uzi usiohusiana na komenti hiiNaifahamu sana Sasa nataka konekshen ya biashara ya utumwa ya Mauritania na hicho ulichoandika.
Sana biblia imeongelea utumwa utumwa mwingi sanaKama Sheria yao inaruhusu na si dhambi hakuna tabu yeyote , maana hata Bible ili ruhusu na kukupa promo utumwa.
Sana biblia imeongelea utumwa utumwa mwingi sana
Utumwa mwingi Misri kwa Farao yusuphu aliuzwa utumwani pia ni utumwa utumwa mwingiMada mezani ni utumwa mauritania tuweke masuala ya biblia pembeni