Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Saw kwahy agano la kale haliwahusu?Mathayo, Luka, Marko na Yohana.
Agano Jipya
Linatuhusu na ni km marejeo ya kihistoria kwa wakristoSaw kwahy agano la kale haliwahusu?
Ungemuacha tu na ujinga wake. Wanarukiaga mambo hata hawajui. Me nimesoma nikaona nikae kimya. Kubishana na mtu asiye na exposure na ufahamu wa jambo analobishania inataka uwe na nguvu ya ujinga mwingi pia.Rekebisha hapo mkuu,
Mtumwa ni halali kwa wayahudi sio wakristo.
Ukristo unasimamiwa na injili
Ni kama wewe ukisoma historia ya ukoloni ambayo ilitokea miaka 100+ huko nyuma wakati Tanzania ikiwa bado haijaundwa lakini ukoloni na matukio yake umewekwa kwenye vitabu vyake vya sasa na ni sehemu ya Tanzania ila Tanzania sio ukoloni. Ndivyo wakristo wanavyosoma agano la kale na lipo kwenye kitabu chao kitakatifu kama marejeo ya kimafundisho kwa kuchukua mazuri ya kihistoria na kujifunza mabaya ya kihistoria ila agano jipya ndio mfumo mpya wa namna ya kujiconduct.Saw kwahy agano la kale haliwahusu?
Amri 10 ni agano jipya?Agano la kale ni kabla ya Ukristo.
Wakristo ni wafuasi wa kristo,
Kristo anqpatikana kwenye Agano jipya
Huna akiliSuala la utumwa kwenye biblia ni halali. Mtumwa kwenye biblia amechukuliwa kama kitu na sio mtu. Kulingana na biblia mtu akimuua mtu anastahili kifo ila akimuua mtumwa ataadhibiwa tu adhabu za kawaida. Kabla ya kulaumu waislamu tujue kwenye ukristo utumwa ni halali.
Marejeo tu?Linatuhusu na ni km marejeo ya kihistoria kwa wakristo
Kuna kasumba ya Cognitive dissonance ipo sana kwa waislam inapokuja swala la waarabu. Hawajui mahusiano ya kihistoria yaliyopo kati ya muarabu na mwafrika au mtu mweusi. Waarabu wanakubagua hata kama mnashare dini.Nchi nyingi za waarabu wanawatazama watu weusi kama watumwa. Hata Gaza hapo Palestina, Wana mtaa kabisa wa wapalestina weusi wanauita ' Al Abeed', neno linalomaanisha 'watumwa'.
Huwa nawashangaa hawa weusi wamekazana na Free Palestine wakati wangekuwepo hapo Gaza, wangekuwa treated kama watumwa.
Kwanini waafrika tu ndo tunalalamikia utumwa? Kwanini wazungu wasilalamike watu wao kuuzwa utumwani kwenye nchi za kiafrika?Topic ni inchi ya Mauritania ambayo ni ya kiarabu kuruhusu hiyo kitu na hata ukienda Saudi Arabia,Iraq,Libya ambazo ni watu wa jamii moja habari ni ile ile.
Mimi sitetea wazungu but naongelea swala la kistaarabika na kuchangamana na jamii nyingine wapo vema. Ndio maana huko Ulaya na marekani waarabu,waafrika,wachina wamejaa tele na wanaishi kwa uhuru na kuoa au kuzaa na wanaetaka.
Nenda wewe tu hapo kwa mfano hapo Libya halafu uteletee ripoti ya uchangamano. Kwasababu wanakutazama kama mtumwa kwao na ni takataka.
Watu wengi sana weusi wameoa wazungu na wachina na wanaishi nao kawaida. Ila ni nadra sana kukutana na couple ya mwafrika na muarabu pure tena yule anaeishi uarabuni au muhindi pure ameoana na mwafrika pure.
Wazungu wabaguzi wapo ila wana aibu sana siku hizi sababu ya mabadiliko ya sheria za usawa na kutambua haki za kibinadamu na kupiga vita ubaguzi wa rangi.
South Africa hapo tu ni mfano, ubaguzi ulikuwa mkali ila sasa makaburu wamekuwa wapole wanaridhia watoto wao wa kizungu kuolewa na waafrika.
Sasa wewe unataka kubadili mjadala hapa ionekane mimi nataka ligi za kitoto wakati tunazungumza mambo serious yanayotokea katika jamii. Mimi sio wakili wa wazungu kuwa nawatetea kwani hayo mataifa ya magharibi si kila siku ninawaponda hapa kuhusu ushoga, na mambo mengine ya hovyo ?
Sasa wewe unaanzisha sijui mjadala gani hapa.
Una uhakika hata wa kupata milo miwili kwa siku?Huna akili
Sasa hautaki au ulikuwa na maoni gani!Marejeo tu?
Vitu gani hivi unauliza mbona haumake sense? Wapi uliona watumwa wa kizungu wanauzwa kwenye soko la waarabu? Au unaongea ukiwa na hangover?🤔Kwanini waafrika tu ndo tunalalamikia utumwa? Kwanini wazungu wasilalamike watu wao kuuzwa utumwani kwenye nchi za kiafrika?
Embu elezea vizur kwanza kuhusu urejeaji wa agano la kale katika ukristo sijaelewa hapo kidogo.Ni kama wewe ukisoma historia ya ukoloni ambayo ilitokea miaka 100+ huko nyuma wakati Tanzania ikiwa bado haijaundwa lakini ukoloni na matukio yake umewekwa kwenye vitabu vyake vya sasa na ni sehemu ya Tanzania ila Tanzania sio ukoloni. Ndivyo wakristo wanavyosoma agano la kale na lipo kwenye kitabu chao kitakatifu kama marejeo ya kimafundisho kwa kuchukua mazuri ya kihistoria na kujifunza mabaya ya kihistoria ila agano jipya ndio mfumo mpya wa namna ya kujiconduct.
So sijui kama unaelewa tofauti hiyo.
SIfanyi manual work, one meal per day satisify my needs.Una uhakika hata wa kupata milo miwili kwa siku?
Yesu alisemaje kuhusu agano la kale?Sasa hautaki au ulikuwa na maoni gani!
Ni agano la kaleAmri 10 ni agano jipya?
Kurejea ni mfano ukisoma mithali utakutana na hekima za Suleiman pale akitoa maneno ya hekima iliyopatikana kutokana na mwenendo wa kitabia nyakati hizo. Na ndio maana ukisoma unakuta yale maneno ni kama yanetazama nyakati hizi.Embu elezea vizur kwanza kuhusu urejeaji wa agano la kale katika ukristo sijaelewa hapo kidogo.
Haya maelezo yanatofauti gani kwenye upande wa agano jipya?Kurejea ni mfano ukisoma mithali utakutana na hekima za Suleiman pale akitoa maneno ya hekima iliyopatikana kutokana na mwenendo wa kitabia nyakati hizo. Na ndio maana ukisoma unakuta yale maneno ni kama yanetazama nyakati hizi.
Ukienda kitabu cha Walawi napo utakuta marejeo ya hekima. Pale utakuta makatazo mbali mbali kama kukatazwa kulala na mke wa baba yako, mtoto wa mke wa baba yako, mtoto wa mjomba wako etc.
Kitimoto imekataliwa pale kwenye Walawi. Marejeo ni kama hivyo yaani unatazama maonyo na ushauri wa vitabu vya nyakati za kale kabla ya imani ya kikristo kuwapo lakini pia baada ya ukristo kuanza.
Mathayo 5:17–18 — “Msidhani ya kuwa nalikuja kulivunja torati au manabii; la, sikuja kuvunja bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapopita, yodi moja wala nukta moja ya torati haitapita, hata yote yatimie.”Yesu alisemaje kuhusu agano la kale?