Tofati yake ni kuwa hayo yametokea katika torati na ya agano jipya ni maoni au maandiko ya wanafunzi wa Yesu kwa muktadha wa agano jipya ingawa yanazungumza maoni ya kufanana.Haya maelezo yanatofauti gani kwenye upande wa agano jipya?
Umejibu vizuri Sasa marejeo gani unafata na yapi hufat kutoka agano la kale?Mathayo 5:17–18 — “Msidhani ya kuwa nalikuja kulivunja torati au manabii; la, sikuja kuvunja bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapopita, yodi moja wala nukta moja ya torati haitapita, hata yote yatimie.”
(Hapa maana yake Yesu hakuja kupinga agano la kale ila ni alikuja kulidhihirisha uhalali wake)
Luka 24:27 — “Na akianza kutoka Musa na manabii wote, aliwafasiria katika maandiko yote mambo yaliyomhusu yeye.”(hapa inaonyesha alitambua kuwa agano la kale lilikuwa linajua juu ya ujio wake)
Mathayo 22:37–40 — Yesu alisema amri kuu ni: “Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote… na mpende jirani yako kama nafsi yako. Katika amri hizi mbili torati yote na manabii hutegemea.”
(Hapa anaonyesha tena kuwa Torati ina misingi yake ambayo inatakiwa kufautwa katika ukurasa mpya)
Katika Mahubiri ya Mlimani (Mathayo 5), alisema: “Mmesikia watu wakisema… lakini Mimi nawaambia…”
(Hakuubatilisha Agano la Kale, bali alifafanua maana yake ya ndani zaidi (mfano: hasira ni sawa na mauaji moyoni, tamaa ni sawa na uzinzi moyoni).
Kwa kifupi Yesu mwenyewe baada ya kuzaliwa na kuanza kufanya yake tayari alikuwa anajua kuwa kuna misingi ya torati mizuri na aliifundisha kwa wafuasi wake kumaanisha ni sahihi kuyafuata baada ya mafunzo na marejeo ya torati.
Kifupi Yesu agano jipya halijui?Tofati yake ni kuwa hayo yametokea katika torati na ya agano jipya ni maoni au maandiko ya wanafunzi wa Yesu kwa muktadha wa agano jipya ingawa yanazungumza maoni ya kufanana.
Torati ina simamia sheria hata pale ambapo kulikuwa na nafasi ya subira yenyewe itaamuru kwasababu ni sheria ya binadamu (MUSA). Agano jipya ni msingi wa neema na ukweli kutokana na mafundisho ya Yesu.Umejibu vizuri Sasa marejeo gani unafata na yapi hufat kutoka agano la kale?
Agano jipya ndio Yesu mwenyewe. Ni sawa na kusema CCM hawajui ufisadi unoendelea inchini wakati ndio wameutengeneza.Kifupi Yesu agano jipya halijui?
Wewe unayejua Bibli mbona hukutoa ufafanuzi. Unajua kutusi tu wakati nawe ni mbumbumbu tu?Hawa mbuzi hawajui chochote kuhusu biblia 😂🤣
Wanabwaja bwaja kwa kutafuta uthibitisho feki ili uendane na utapeli wao.
Kama Sheria yao inaruhusu na si dhambi hakuna tabu yeyote , maana hata Bible ili ruhusu na kukupa promo utumwa.
Ahsante sana.Torati ina simamia sheria hata pale ambapo kulikuwa na nafasi ya subira yenyewe itaamuru kwasababu ni sheria ya binadamu (MUSA). Agano jipya ni msingi wa neema na ukweli kutokana na mafundisho ya Yesu.
Mfano,aganao la kale: “Jicho kwa jicho, jino kwa jino” (Kutoka 21:24). Ila agano jipya: Yesu alisema, “Lakini Mimi nawaambia: msimlipize mabaya mtu mwovu… mgeuzie shavu lingine” (Mathayo 5:38–39).
So agano la kale linahimiza kisasi kupata haki agano jipya linahimiza subira, uvumilivu na upendo katika haki.
Kwenye agano la kale: "Israeli ni taifa teule, mataifa mengine wako nje" (Kumbukumbu la Torati 7:6).
Kwenye agano jipya: "Wokovu ni kwa kila kabila, lugha, taifa na jamaa” (Ufunuo 5:9).
Agano la kale : Dhabihu za wanyama kila siku kwa ajili ya dhambi (Mambo ya Walawi 4, Walawi 16).
Agano jipya: “Kristo alitolewa mara moja kuondoa dhambi za wengi” (Waebrania 9:28).
Kwamba hakuna haja ya kufanya tena kafara za wanyama kumtolea sadaka MUNGU yesu ndio alikuwa kafara ya mwisho haitakiwi tena kafara kumtolea MUNGU dhabihu.
Agano la kale: Sheria kali kuhusu vyakula, usafi na ibada hekaluni (Walawi 11, Hesabu 19).
Agano jipya: “Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu kinachoweza kumtia unajisi… bali kinachotoka ndani” (Marko 7:15).
Tafsiri ya unajisi na ubatili. Ila kuna watu wanafuata hizi sheria na kuzitilia mkazo ila hapa unaonyesha kuwa unaweza nje ukajiweka msafi ila matendo kutoka kwako yakawa ni sumu kali na hatari.
Hapa wavaa kobazi wanajua msingi wa hili neno. Wanakataa kula kiti moto ila analamba nyuchi ya mwanamke,anagonga wake za watu na kula tigo. Ila wakienda masjidi kila saa kunawa ili kuingia nyumba ya ibada na fikra kuwa ni wasafi ila matendo yamejaa najisi katika jamii. (Mfano tu sitaki marumbano mimi pia ni ustaadhi😂).
Agano la kale: Mungu aliagiza vita na maangamizi ya mataifa (Yoshua 6, 1 Samweli 15).
Agano jipya: Yesu alifundisha amani na upatanisho, “Wapendeni adui zenu” (Mathayo 5:44).
So kwa kifupi, agano la Kale linaweka msingi (sheria, hukumu, ahadi) wakati agano Jipya linatoa utimilifu (neema, msamaha, wokovu kwa Yesu).
Kwa hiyo zile amri 10 hazitumiki tena kwa wakristo?Ni agano la kale
Siku zote amri anawekewa aliye mtukutu.
Ukristo haufungwi na amri.
Ufuasi wa kristo ni unyenyekevu wa hali ya juu sana.
Kwa Mkristo amri ni kitu cha kitoto sana, ni sawa na kwenda kumpa mtu wa chuo kikuu hesabu za nursary.
Kwann zisitumike?Kwa hiyo zile amri 10 hazitumiki tena kwa wakristo?
Sijauliza unafanya kazi gani. Nimemaanisha kama una uwezo wa kiuchumi kumudu milo miwili kwa siku.SIfanyi manual work, one meal per day satisify my needs.
Acha kupaniki. Jibu swaliVitu gani hivi unauliza mbona haumake sense? Wapi uliona watumwa wa kizungu wanauzwa kwenye soko la waarabu? Au unaongea ukiwa na hangover?🤔
Tuanze na hapo kwenye jino kwa jino na mgeuzie shavu lingine, Kwa uelewa wako unaona ni mada au muktadha unaolingana mpaka ulinganishe?Torati ina simamia sheria hata pale ambapo kulikuwa na nafasi ya subira yenyewe itaamuru kwasababu ni sheria ya binadamu (MUSA). Agano jipya ni msingi wa neema na ukweli kutokana na mafundisho ya Yesu.
Mfano,aganao la kale: “Jicho kwa jicho, jino kwa jino” (Kutoka 21:24). Ila agano jipya: Yesu alisema, “Lakini Mimi nawaambia: msimlipize mabaya mtu mwovu… mgeuzie shavu lingine” (Mathayo 5:38–39).
So agano la kale linahimiza kisasi kupata haki agano jipya linahimiza subira, uvumilivu na upendo katika haki.
Kwenye agano la kale: "Israeli ni taifa teule, mataifa mengine wako nje" (Kumbukumbu la Torati 7:6).
Kwenye agano jipya: "Wokovu ni kwa kila kabila, lugha, taifa na jamaa” (Ufunuo 5:9).
Agano la kale : Dhabihu za wanyama kila siku kwa ajili ya dhambi (Mambo ya Walawi 4, Walawi 16).
Agano jipya: “Kristo alitolewa mara moja kuondoa dhambi za wengi” (Waebrania 9:28).
Kwamba hakuna haja ya kufanya tena kafara za wanyama kumtolea sadaka MUNGU yesu ndio alikuwa kafara ya mwisho haitakiwi tena kafara kumtolea MUNGU dhabihu.
Agano la kale: Sheria kali kuhusu vyakula, usafi na ibada hekaluni (Walawi 11, Hesabu 19).
Agano jipya: “Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu kinachoweza kumtia unajisi… bali kinachotoka ndani” (Marko 7:15).
Tafsiri ya unajisi na ubatili. Ila kuna watu wanafuata hizi sheria na kuzitilia mkazo ila hapa unaonyesha kuwa unaweza nje ukajiweka msafi ila matendo kutoka kwako yakawa ni sumu kali na hatari.
Hapa wavaa kobazi wanajua msingi wa hili neno. Wanakataa kula kiti moto ila analamba nyuchi ya mwanamke,anagonga wake za watu na kula tigo. Ila wakienda masjidi kila saa kunawa ili kuingia nyumba ya ibada na fikra kuwa ni wasafi ila matendo yamejaa najisi katika jamii. (Mfano tu sitaki marumbano mimi pia ni ustaadhi😂).
Agano la kale: Mungu aliagiza vita na maangamizi ya mataifa (Yoshua 6, 1 Samweli 15).
Agano jipya: Yesu alifundisha amani na upatanisho, “Wapendeni adui zenu” (Mathayo 5:44).
So kwa kifupi, agano la Kale linaweka msingi (sheria, hukumu, ahadi) wakati agano Jipya linatoa utimilifu (neema, msamaha, wokovu kwa Yesu).
Wewe ni zuzu niishie hapo.Kwa hiyo zile amri 10 hazitumiki tena kwa wakristo?
MLo wangu mmoja una thamani kuliko milo yako ya siku nzima.Sijauliza unafanya kazi gani. Nimemaanisha kama una uwezo wa kiuchumi kumudu milo miwili kwa siku.
Siku nyingine acha kuandika uharo mtandaoni.Wewe ni zuzu niishie hapo.
Nimejaribu kukuelekeza lkn naona umekuwa mzito kuelewa.
Umeuliza swali la ajabu unataka nishuke kwenye level yako ya u'zero knowledge kukujibu?🤔Acha kupaniki. Jibu swali
Umeshindwa kuelewa swali unaishia kupanik... kilaza mkubwa wewe.Umeuliza swali la ajabu unataka nishuke kwenye level yako ua zero knowledge kukujibu?🤔
Wewe umeshawahi kukunata na soko la waarabu wakiuza wazungu kama watumwa eneo gani mwaka gani?
Si ni nchi ya dini " ya mwarabu" hii iliyoshushwa kweli?