Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 10,999 Reaction score 23,540 Sep 14, 2025 #81 MamaSamia2025 said: Umeshindwa kuelewa swali unaishia kupanik... kilaza mkubwa wewe. Click to expand... Nimeshindwa kuelewa swali au umeshindwa kuuliza maswali? Unaandika upuuzi halafu unataka niuelewe? Ungekuwa unajua ulichoandika ungebadili swali ila kwasababu haujui ulichoandika unakimbilia kusema sijakuelewa,mimi nisikuelewe kwani umeandika kichina?
MamaSamia2025 said: Umeshindwa kuelewa swali unaishia kupanik... kilaza mkubwa wewe. Click to expand... Nimeshindwa kuelewa swali au umeshindwa kuuliza maswali? Unaandika upuuzi halafu unataka niuelewe? Ungekuwa unajua ulichoandika ungebadili swali ila kwasababu haujui ulichoandika unakimbilia kusema sijakuelewa,mimi nisikuelewe kwani umeandika kichina?
mambio JF-Expert Member Joined Mar 4, 2017 Posts 2,859 Reaction score 3,679 Sep 14, 2025 #82 MamaSamia2025 said: Siku nyingine acha kuandika uharo mtandaoni. Click to expand... Sawa mama samia
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 Sep 15, 2025 #83 LOTH HEMA said: wazungu wana utu mjuba, huwezi kuwalinganisha na waarabu Click to expand... Huna akili , watu Wenye utu wanaweza kuwaweka binadamu wenzao makumbusho kwenye cages watu wanawatizama live kama wanyama ?
LOTH HEMA said: wazungu wana utu mjuba, huwezi kuwalinganisha na waarabu Click to expand... Huna akili , watu Wenye utu wanaweza kuwaweka binadamu wenzao makumbusho kwenye cages watu wanawatizama live kama wanyama ?