MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
Jameni Israel hunifurahisha hadi naumwa, waliikalisha Iran na kuteka anga lao lote na kupiga popote walipokua wanataka, juzi wamechezea kwenye anga ya Qatar bila hata ndege moja kudunguliwa, tena wamesafiri zaidi ya kilomita 1,000
Yaani madude yanapaa kwenye anga lenu bila kugunduliwa, yanajipigia na kutoka, yakishatoka ndio radar zenu zinaanza kusoma.
Juzi wamepiga mataifa matano kwa mkupuo, wana jeuri sana tangu wakalishe chini gaidi la kidini Iran.