Digitaldreamer
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 879
- 1,578
"Two things are infinity: the universe and human stupidity and I'm not sure about universe."Hahaha huyo muajemi tangu atuambie atalipiza kisasi tunaendelea kusubiri mpaka sasa.
Kapigwa kwa siku 12, wataalam wake wameuwawa lakini yeye karusha baruti kwenye mfuko halafu mbio kajificha mapangoni.
Albert Einstein