Video: Huyu mstaafu aliwakosea nini Jeshi La Polisi? Kosa lake ni kukaa kijiweni?

Video: Huyu mstaafu aliwakosea nini Jeshi La Polisi? Kosa lake ni kukaa kijiweni?

Kuna mambo inabidi kupita kimya kimya. La sivyo utajikuta unasukumwa ndani
 
Wawe wanachukua walau walioenda shule kidogo, japo elimu inapigwa vita ila inashape sana sometimes.

Sasa mtu hata hajui kua kuna kazi nyingi tofauti na yake, kuna watu wa vipato tofauti kulingana na kazi zao na tofauti za namna hiyo yani hata kua mlinzi wa mali zako na wewe hafai.
 
Kuna mambo inabidi kupita kimya kimya. La sivyo utajikuta unasukumwa ndani
Mtu kama huyo unampa ushindi, mwache aongee.
Hapo angesema tu sina kazi nimestaafu kwa ugonjwa na siwezi kufanya kazi yoyote na kila kazi akitajiwa sijui kulima, kuuza karanga ni siwezi , siwezi, siwezi nasubiri pension tu.
 
Hiyo sauti ni kama ya aliyekua kamanda wa mkoa wa Dodoma Gilles Muroto,ambaye hata yeye sasa hivi ni mstaafu,

Nakumbuka ile kauli yake ya "Kipigo watakachokipata ni cha Mbwa koko''
Huyo huyo naye kastaafu na sjui anafanya nini sahv ila polisi wengi
Wakistaafu wanaishi kwa kupiga mzinga

Ova
 
Back
Top Bottom