100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Upo serious!Mi sioni baya naona a happy family enjoying themselves… WEWE TU.
Huyo mama anakazwa na huyo mtotoSema uyo mama si haba nakuomba kama ntaweza kupata namba ya huyo mama tafadhali ili niwalee Hao watoto kwenye misingi imara
Lafudhi ya Kenya!Sema uyo mama si haba nakuomba kama ntaweza kupata namba ya huyo mama tafadhali ili niwalee Hao watoto kwenye misingi imara
Huyo wakiume atakuchukiaa maana ashazoea kulala na mama na dada kitanda kimoja nakujambiana..Sema uyo mama si haba nakuomba kama ntaweza kupata namba ya huyo mama tafadhali ili niwalee Hao watoto kwenye misingi imara
Sure, ni Wakenya..Lafudhi ya Kenya!
Mkuu utavuka mipaka kwenda huko 'kuasili' watoto?
Huu uzungu wa namna hii hapana aisee..Wanaishi kizungu
Wewe jamaa hiyo man u, itakuua achana nayoUngetuacha kwanza mheshimiwa MAN U inatutanua mioyo huku
Hahah hakika!Sema uyo mama si haba nakuomba kama ntaweza kupata namba ya huyo mama tafadhali ili niwalee Hao watoto kwenye misingi imara
Mtoto wa kiume anamngʼangʼania mama yake am'busu unaona sawa?Shida sijaiona
Huyo mtoto ana down syndrome, yaani ni mongolismNilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video...
Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
View attachment 3672150