VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

Mama mtu hana akili na kwa rika la huyo mvulana "foolish age" usikute tayari anakulaga mama mzazi, wazazi wa 1900s hawakuwa wajinga kuweka mipaka ya watoto kimazoea kwa baba/mama zetu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
😂😂😂 khaaah, huogopi? Aliyekua ana record ni baba yao hao watoto.
Nilikua najiuliza nani alikua anachukua hiyo video? Huu sio uigizaji?

Ni kweli wahusika tunaowaona hapo hawakua wakijua kama wanarekodiwa?

Kuna hili la uwezekano kua huyo sio mama ya huyo mtoto na kwamba huyo mwanamke ni content creator

Video ya pili ndio imekaa kama scene ya movie. Ukiangalia ukaribu wa picha ilivyochukuliwa, sauti ipo loud and clear na mapozi mengi tu yanaonyesha inaweza kua uigizaji

Ni maoni yangu tu lakini
 
Ni mama wa huyo mtoto mkuu...
 
Huenda Mama ameona ni Bora amuoneshe Mwanaye Utamu wa Nyapu mapema, ili Mtoto asije kupata ushawishi wa kujiingiza kwenye makundi ya kutinduliwa..

Mama ametumia Fursa anayoimiliki mwenyewe ili kumuepusha Kijana wake na hatari ya kuwa Shoga..
 
Back
Top Bottom