VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

Aah wapi! Kumbuka kuna masomo na mambo mengi tu yatamtenga mbali na mama yake na atazoea! Mimi mwanaume anayempemda sana mama yake anikome sio siri! 😆
Wanasemaga hua hatuoi au ni ngumu sana kuoa sababu ni kwamba unampenda sana mama yako kuliko mwanamke yoyote yule
 
Nilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video...
Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
View attachment 3672150
Mapokeo yanatupelekesha sana bado huku tena kuna AI inafafanua kila kitu basi kizazi kijacho hata kukudhibiti itakuwa shida sana, ni kumwomba sana Mungu tuvuke salama ktk maisha haya ya sasa.
 
Aah wapi! Kumbuka kuna masomo na mambo mengi tu yatamtenga mbali na mama yake na atazoea! Mimi mwanaume anayempemda sana mama yake anikome sio siri! 😆
Duh na me maza angu asipokupitisha hakuna future, Sina mazoea ya kijinga kama huyo janja ila mom is my soul. Nakutakia upatwaji mwema wa mwanaume hardcore kwa maza ake
 
Mama yako ananipitisha wakati we ndio unanijua? Aah wee!, saingine mama anataka uendelee kubaki single ili umuone yeye tu. We unahisi anakuepushia jambo baya..
 
Akifa unakufa naye? Ni tabia mbaya hii!! Ndio yale unakuta mpaka kashakuwa kuwa mtu mzima lakini bado analala na mama yake kitanda kimoja, au maamuzi ya familia yanafanywa na mama yake duhh!
Hio ya kulala haipo labda mtoto wa kike na Baba yake hata akiwa limama akilala na Baba yake hakuna shida sio wa kiume kulala na mama yake na kashakua libaba atakua na matatizo ya ubongo
 
Ila kwanini walale na wazazi wao jamani! Duh sijawahi tangu kuzaliwa..🙌🏾
 
Mama yako ananipitisha wakati we ndio unanijua? Aah wee!, saingine mama anataka uendelee kubaki single ili umuone yeye tu. We unahisi anakuepushia jambo baya..
Namaanisha kwanza mpaka napata ujasiri kukutambulisha kwa maza umepitia vetting ya maana, Kisha katika uchumba lazima nikuache hata siku 2 3 kwake nione mnavo vibe kama ni binti mwema ata yeye atatia 5 stars, naanza kukupitisha mimi yeye final tu kama badge of honor. Hii ni kwa serious relationship lakin sio shika chinja.
 
Yani hizo siku 2 3 mbona naigiza frshy tu! Yaani mama nikusaidie hiki haziishi! Saa 11 alfajiri naamka kudeki, nafua nguo za mamkwee, nasafisha nyumba, nampikia chai, akiamka malaika si huyu hapa! Mamaako siachi doa ukweni😂
Nikitoka hapo ni humu tu 💅💃🏽
 
Ushindwee na ulegee! we kichwa kibovu sana wewe me sikuwezi 🙌 ukioa dem kakuzidi ujanja nayo ni high risk 🤣 Dem Lina makoneksheni ya kazi kama yotee! utaomba poo
 
Back
Top Bottom