VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
Oya man kuna ile love nigga wewe hujui tu yaan kuna kitu haujui but hapo hakuna baya lolote ni love tu, tumeyaishi sana maisha hayo hakuna baya lolote hapo ni love ni upendo tu baina ya mama na mtoto wake, shida ni kwamba mtoto amerefuka sana km mama yake ila sio mkubwa huyo ni mtoto na hakuna ubaya wowote mama na mtoto wakipendana mboni alikua anampiga mabusu na madenda mtoto akiwa mdogo au haujui sasa amemkuza kawa mkubwa anacheza nae unakuja kushupaza shingo ulikuwepo wakati anamnyea na kumlilia usiku halali anakesha kubembeleza mpaka asubuhi?
 
Hakuna shida yoyote hapo acheni kujiongeza! Kuna watoto wa kiume huwa na uchokozi wakifika level fulani, halafu hiyo ni video wanachukua lazima ingekuwa hivyo, lakini haimaanishi kwamba anaweza kulala na mzazi wake tatizo wengi tumetoka familia za ukishika hata kikombe ni kipigo , ukiwasha tv kipigo, basi mnaona kila kitu ni vita mpaka mnataka huyo mama aishi na mwanae kama adui!
 
Nimeyaishi maisha hayo sana sasa bi mkubwa kukwepesha akawa analeta mabeki 3
 
Nimeyaishi maisha hayo sana sasa bi mkubwa kukwepesha akawa analeta mabeki 3
Kuna watu mpaka anafika sekondari wanataniana hivyo na mama zao, binafsi sioni shida najua watoto wa kiume wengine wana mizaha na mama zao tu japo sio kila mara kama akili za wengi zilivyohisi hapo! Mtoto mwenyewe anaoneka mwezi mchanga!
 
Mimi bnafsi nilioyagundua
1.hiii ni vedeo iliyorekodiwa na mtu na cyo CCTV camera,kama ni video tukio lilipangwa na kama tukio lilipangwa walikuwa na maana Yao kwa siku hyo na inawezekana cyo maisha Yao ya Kila cku
2.huyo mtoto wa kiume ni mdogo sana ingawa anaonekana kama analingana na mtu tunaedhani ni mama yake mzazi au lah
Mwisho kama ndo mfumo wao wa maisha
Basi wanachokifanya ni ujinga uliopitiliza
 
Kuna watu mpaka anafika sekondari wanataniana hivyo na mama zao, binafsi sioni shida najua watoto wa kiume wengine wana mizaha na mama zao tu jqpo sio kila mara kama akili za wengi zilivyohisi hapo! Mtoto mwenyewe anaoneka mwezi mchanga!
Dogo kapinda sema huyo ndio changamsha nyumba asipokuwepo huyo nyumba inakua km imemwagiwa maji vile imelowana zile kurupushani zinakua hazipo watu wanaweza hisi wenye nyumba wamehama ila akiwepo nyumba inachangamka sio kidogo, sema problem ni moja akiwa mkubwa akafika hatua ya kuishi mwenyewe atatamani zaidi kuishi na mama yake na sio mtu mwingine yoyote
 
Wasomi si mtuelezee na sisi wa elimu mbalimbali..🤷🏽‍♀️
Mtoto kua na mapenzi zaidi na mzazi mmoja wa jinsia tofauti kuliko yule mwenye jinsia sawa na yeye, kuna ile mtoto wa kike anampenda sana Baba yake mpaka watu wanaanza kuhisi usenge mpaka wanafika hatua wanaenda kuipimakuma km imeshatombwa na Baba yake au wanaanza kumbana mtoto maswali ya kisengesenge wakati mtoto hata kutombwa hajui ni nini maana wanajiuliza haya mapenzi gani kati ya Baba na mtoto hivi hamtombi kweli huyu fala
 
Dogo kapinda sema huyo ndio changamsha nyumba asipokuwepo huyo nyumba inakua km imemwagiwa maji vile imelowana zile kurupushani zinakua hazipo watu wanaweza hisi wenye nyumba wamehama ila akiwepo nyumba inachangamka sio kidogo, sema problem ni moja akiwa mkubwa akafika hatua ya kuishi mwenyewe atatamani zaidi kuishi na mama yake na sio mtu mwingine yoyote
Aah wapi! Kumbuka kuna masomo na mambo mengi tu yatamtenga mbali na mama yake na atazoea! Mimi mwanaume anayempenda sana mama yake anikome sio siri! 😆
 
Mtoto kua na mapenzi zaidi na mzazi mmoja wa jinsia tofauti kuliko yule mwenye jinsia sawa na yeye, kuna ile mtoto wa kike anampenda sana Baba yake mpaka watu wanaanza kuhisi usenge mpaka wanafika hatua wanaenda kuipimakuma km imeshatombwa na Baba yake
Baba hadati? Aisee kuna clip niliona tiktok, binti yuko swimming na babaake mpaka wanabebana, binti matako wazi, watu waliijudge sana mbona hii cha mtoto!! Ila ndio comments zinawajibu sasa walioshangazwa na hivyo vitendo, wewe wazazi wako wana tamaa ya kingono mpaka kwa watoto wao mpaka wakikuona uko nusu uchi wanakutamani? Ila kuna jamii na jamii bana.. dada acc yake nzima kama yuko na danga, kumbe baba.. huku kwetu hata kumsogelea baba bila sababu huwezi, kumkumbatia tu mpaka muwe hamjaona miaka mingi..ni kasheshe🤦🏽‍♀️
 
Back
Top Bottom