VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

VIDEO: Huyu ni mama na mtoto, malezi gani haya?

Lugha gani wanaongea? Aliyesikia a niambie.

Me naona... Mtoto anaonekana hayupo OK kiafya kiakili kwa kuzaliwa , hayo kama ya kuona TV Mama yake anapitia mengi.. La sivyo ange act kivingine..
Hiyo lafudhi ni ya Wakamba hao.
Huwa wanaishi kwenye vijiji vilivyoizunguka Nairobi kuanzia Machakos ikizunguka pande zote za Nairobi.
 
Nilikua najiuliza nani alikua anachukua hiyo video? Huu sio uigizaji?

Ni kweli wahusika tunaowaona hapo hawakua wakijua kama wanarekodiwa?

Kuna hili la uwezekano kua huyo sio mama ya huyo mtoto na kwamba huyo mwanamke ni content creator

Video ya pili ndio imekaa kama scene ya movie. Ukiangalia ukaribu wa picha ilivyochukuliwa, sauti ipo loud and clear na mapozi mengi tu yanaonyesha inaweza kua uigizaji

Ni maoni yangu tu lakini
Uko sahihi sana, hii ni Content tu.
 
Ushindwee na ulegee! we kichwa kibovu sana wewe me sikuwezi 🙌 ukioa dem kakuzidi ujanja nayo ni high risk 🤣 Dem Lina makoneksheni ya kazi kama yotee! utaomba poo
Nina ujanja gani jamani, si maandishi tu haya mwanangu, usinifanyie hivyoo🙄
Yale ma koneksheni si yapo tu mitandaoni jamani, usiombe po sikiliza basii🤣
 
Hii dunia ngumu sana. Haihitaji hata "D" moja kujua kuwa huyo mtoto barubaru atakuwa kashamlamba huyo mama vinginevyo labda tu wameshaona huyo mtoto ana dalili za kuwa bwabwa labda wanajaribu kumpa amsha amsha ili waokoe jahazi. Nyege hazina mwenyewe na hasa ukizingatia huyo mtoto yupo kwenye umri wa mpito wa balehe ambao ni umri mbaya sana kama mtoto hatapata wazazi wakumelekeza na kumsimamia ili avuke salama hicho kipindi.
 
Nilikua najiuliza nani alikua anachukua hiyo video? Huu sio uigizaji?

Ni kweli wahusika tunaowaona hapo hawakua wakijua kama wanarekodiwa?

Kuna hili la uwezekano kua huyo sio mama ya huyo mtoto na kwamba huyo mwanamke ni content creator

Video ya pili ndio imekaa kama scene ya movie. Ukiangalia ukaribu wa picha ilivyochukuliwa, sauti ipo loud and clear na mapozi mengi tu yanaonyesha inaweza kua uigizaji

Ni maoni yangu tu lakini
Huyo dogo na mama ake hawaiigizi..
 
Nina ujanja gani jamani, si maandishi tu haya mwanangu, usinifanyie hivyoo🙄
Yale ma koneksheni si yapo tu mitandaoni jamani, usiombe po sikiliza basii🤣
Sikuamini hadi ufanye muujiza pisi kali 😒✌️
 
Oya man kuna ile love nigga wewe hujui tu yaan kuna kitu haujui but hapo hakuna baya lolote ni love tu, tumeyaishi sana maisha hayo hakuna baya lolote hapo ni love ni upendo tu baina ya mama na mtoto wake, shida ni kwamba mtoto amerefuka sana km mama yake ila sio mkubwa huyo ni mtoto na hakuna ubaya wowote mama na mtoto wakipendana mboni alikua anampiga mabusu na madenda mtoto akiwa mdogo au haujui sasa amemkuza kawa mkubwa anacheza nae unakuja kushupaza shingo ulikuwepo wakati anamnyea na kumlilia usiku halali anakesha kubembeleza mpaka asubuhi?
Wamelelwa na baba zao au mabibi sijaona baya hapo
 
Back
Top Bottom