Tareq20
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 447
- 1,465
Kitu kidogo icho ao watoto mie sio target yangu wakinishindwa nitawatelekeza nitaondoka na mama yaoLafudhi ya Kenya!
Mkuu utavuka mipaka kwenda huko 'kuasili' watoto?
Kitu kidogo icho ao watoto mie sio target yangu wakinishindwa nitawatelekeza nitaondoka na mama yaoLafudhi ya Kenya!
Mkuu utavuka mipaka kwenda huko 'kuasili' watoto?
Huyo mtoto malezi yake mabaya sana, usukumani ufanye hizi, digi nakuwasha kofi hata pata kusahau.Hapana, wala hata huyo mtoto kwa kumtazama hayuko sawa, na zaidi anaelekea kuharibika, km una jicho pevu lakini.
Wakenya hawashindwi akili zao za hovyo sanaHuyo mama anakazwa na huyo mtoto
Hahaha sisi tunaumia kuona watoto hawana adabu itabidi nikae pamoja na mama yao ili niangalie jinsi ya kuwasaidiaWahuni naona mmeamua kuingilia kati😁😁
Hao hawana baba mie ndio maana nataka kujitolea nikae na mama yao tuangalie jinsi ya kuwasaidia😂😂😂 khaaah, huogopi? Aliyekua ana record ni baba yao hao watoto.
Tena hilo vulana unaona linamhug na kumchumu kabisa, kisha ma'mtu linamtia nyege na kuishia kucheka cheko la kupandisha hisia!Kitu kidogo icho ao watoto mie sio target yangu wakinishindwa nitawatelekeza nitaondoka na mama yao
Mimi nimehoji ni sahihi mtoto kuwa na mazoea ya kiasi hiko na mama yake?Hakuna shida yoyote hapo acheni kujiongeza! Kuna watoto wa kiume huwa na uchokozi wakifika level fulani, halafu hiyo ni video wanachukua lazima ingekuwa hivyo, lakini haimaanishi kwamba anaweza kulala na mzazi wake tatizo wengi tumetoka familia za ukishika hata kikombe ni kipigo , ukiwasha tv kipigo, basi mnaona kila kitu ni vita mpaka mnataka huyo mama aishi na mwanae kama adui!
Sawa 😂😂😂Hao hawana baba mie ndio maana nataka kujitolea nikae na mama yao tuangalie jinsi ya kuwasaidia
Hapanaa.Huyo mtoto malezi yake mabaya sana, usukumani ufanye hizi, digi nakuwasha kofi hata pata kusahau.
Au na wewe cocastic unalea hivi watoto wako??
Hao hawana baba mie ndio maana nataka kujitolea nikae na mama yao tuangalie jinsi ya kuwasaidia
Mkuu si atato ameshawatoNilitaka kuandika hivi..iko siku atatomba mmoja wao..haswa mdogo wake
Sawa, ila siwezi kujudge video moja tu hiyo huwezi jua maisha mengine yakoje nyuma ya camera!Mimi nimehoji ni sahihi mtoto kuwa na mazoea ya kiasi hiko na mama yake?
Nisipepese macho, binafsi naona ni malezi mabovu sana...
Mtoto anambusu mama yake shingoni kweli? Mama anamwambia am your first girlfriend...
Hayo si malezi, kuna kuwa na mapenzi na mtoto lakini kuna mstari mwekundu usivukwe...
Sio kweli wanaopinga wametoka familia ambazo ukishika hata kikombe ni kipigo...
Wazazi wangu wamenifulia nguo hadi nafika sekondari, nikiwa shule si baba wala mama wakikuta nina nguo chafu mmoja wapo atafua... unaweza ku imagine ukaribu tuliokuwa nao , upendo na heshima...
Nilikuwa na utani na baba na mama, hasa story za mpira n.k... sio kweli kama unavyosema...
Anaweza kuwa anakosea ndio ila hizi comments duhh hapana aisee!!![]()
Tazama mtoto anavyomshika mama yake kiuno...
😆😆Huyo wakiume atakuchukiaa maana ashazoea kulala na mama na dada kitanda kimoja nakujambiana..
Bee...bee..beheheheeDogo kama beberu lenye nyege halijui mama wala dada waache wamchekee tu!
Ameamua yeye mfuate umkeemeeMtoto wa kiume anamngʼangʼania mama yake am'busu unaona sawa?
Kizazi gani nyie mbona
Wewe utakuwa unalea kama huyu dada wa Kikenya.Hapanaa.