FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Tell herMIAFRIKA NDIVYO TULIVYO , HUNA JIPYA, Ni choyo, Roho mbaya , ulevi na ngono
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tell herMIAFRIKA NDIVYO TULIVYO , HUNA JIPYA, Ni choyo, Roho mbaya , ulevi na ngono
Endelea kutokujua, turudi kwenye hoja
Ila kupigwa risasi lisu ni hoja sio?Kwani kuna mtu kabisha kwamba tuna mbwembwe? Hii ndio hoja hapa?
Nani kabisha kwamba CCM, Lowassa, Chenge wanaiba pesa? Hii ndio hoja hapa?Lakini ukiwa CCM ukaiba pesa kama LOWASA, CHENGE na wengine rushwa inakuwa sio mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ipo nyuma kwako umeikalia.Nani kabisha kwamba CCM, Lowassa, Chenge wanaiba pesa? Hii ndio hoja hapa?
Hata bundle unalotumia kuongea huo ujinga sijui babu yako marehemu ndiyo aliyetengeneza?Viongozi wa Afrika ndio wanaofanya binadamu was afrika kuonekana panya mbele ya wazungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nani amebisha?
Hoja ya kutukana watu hiyo ni hoja?Endelea kutokujua, turudi kwenye hoja
Ikitosha sema, usivumilie ukaumia
Endelea sasa kutukana wewe si ndiyo bingwa wa matusi mbona umekuwa mpole mkoloni mweusi wewe.Kwani nani amebisha?
CCM imeharibiwa na taburalasa kama nyie kupewa madaraka idiot kabisa ukishanunua smartphone unajiona Tanzania ni Mali yako kama mavi yako sio?Kwani nani amebisha?, hii ndio hoja hapa?
kichwa limejaa kijani mpauko empty setIkitosha sema, usivumilie ukaumia
Ni hoja, ila anzishia uzi tujadili, uzi huu tayari una hoja yake, otherwise kila mtu akija na hoja yake tofauti na hoja iliyopo itakuwa vurugu. Mfano nikianza kuwalalamikia Tanesco kwa kukata umeme kwenye uzi huu si ni utaahira utakuwa?Ila kupigwa risasi lisu ni hoja sio?
Hoja ya kutukana watu ?Ni hoja, ila anzishia uzi tujadili, uzi huu tayari una hoja yake
ila ukiwatukana wanaokupinga hoja ni uelevu?Ni hoja, ila anzishia uzi tujadili, uzi huu tayari una hoja yake, otherwise kila mtu akija na hoja yake tofauti na hoja iliyopo itakuwa vurugu. Mfano nikianza kuwalalamikia Tanesco kwa kukata umeme kwenye uzi huu si ni utaahira utakuwa?
Namaanisha Rushwa ni mbaya kwa minajili ya puppet leaders wanaopokea rushwa toka kwa wazungu ili kuruhusu majaribio hatari ya chanjo ya corona kwa watu wakeHoja ipo nyuma kwako umeikalia.
sasa kama haubishi unaposema rushwa mbaya una maana gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kabisha kwamba babu zetu hawakutengeneza bundle, hii ndio hoja hapa?Hata bundle unalotumia kuongea huo ujinga sijui babu yako marehemu ndiyo aliyetengeneza?
Sent using Jamii Forums mobile app