Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Ila kupigwa risasi lisu ni hoja sio?
Ni hoja, ila anzishia uzi tujadili, uzi huu tayari una hoja yake, otherwise kila mtu akija na hoja yake tofauti na hoja iliyopo itakuwa vurugu. Mfano nikianza kuwalalamikia Tanesco kwa kukata umeme kwenye uzi huu si ni utaahira utakuwa?
 
ila ukiwatukana wanaokupinga hoja ni uelevu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom