Video inayosambaa ikionesha jinsi upigaji wa pesa za miradi unavyotokea

Video inayosambaa ikionesha jinsi upigaji wa pesa za miradi unavyotokea

Magufuli alilala na mafaili yao kabla yakuwateua.
Anafanana nao kwa kweli. 2,4 trillion.
 
Muuliza Swali: "Utasainije pesa ambayo haujaipewa?"

Dogo: "Sasa usiposaini unaambiwa acha kazi, Na walikuwa wanasema sisi tutakulindaa, sasa utafanyaje"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dogo pole sana, hongera kwa kupasua jipu.
 
Rushwa ipo sana tu,ni siasa kusema rushwa hamna.
 
Ndo maana wanataka kubaki wenyewe kila sehemu
  • Halmashauri za vijiji wabaki wenyewe
  • za kata wabaki wenyewe
  • za wilaya wabaki wenyewe
  • kusimamia miradi ya maendeleo wabaki wenyewe
  • mjengoni wabaki wenyewe
aliyewadanganya kwamba chama kimoja kitarahisisha maendeleo alaaniwe na wote tuseme Amina
 
Kuna taasisi nyeti katika nchi ambayo ina watu wenye weledi wa hali ya juu lakini hawapewi nafasi ya kuongoza kwa taratibu zilizopo! Ni kuitwa sehemu na kupewa maelekezo!
 
Sijafanikiwa Kujua Ni Wilaya gani lakini huu ni ushahidi tosha kwamba Tanzania ufisadi bado upo
View attachment 1280108

Mlachake wewe ni mkongwe hapa. Naomba usipotoshe tena. Hakuna aliyedai kuwa ufisadi umeisha Tanzania. Si Magufuli si kiongozi yoyote. Infact Magufuli kila siku analia kuwa ufisadi bado upo kabisa. Ila anachofanya ni kujaribu kupigana kadiri ya uwezo wake. Ndiyo maana unaona anafikia hatua ya kuita wengine ''wapumbavu''. Hii inaonyesha anavyokasirishwa na ufisadi. Ufisadi hauwezi kuisha ila kinachotakiwa viongozi wenye ni nia ya kupigana nao. Na hii clip pengine imekufikia kwa sababu kiongozi mkuu hataki ufisadi.
 
ufisadi wa awamu hii ndio mkubwa tangu tupate uhuru tena unafanyika mpaka ikulu, shs. 1.5 trilion ziliyeyuka, ATCL marufuku CAG kukagua, yale mafigisu aliyofanyiwa PR. Asad unafikiri ni kwa nini? Alikuwa anauweka hadharani ufisadi
 
Mlachake wewe ni mkongwe hapa. Naomba usipotoshe tena. Hakuna aliyedai kuwa ufisadi umeisha Tanzania. Si Magufuli si kiongozi yoyote. Infact Magufuli kila siku analia kuwa ufisadi bado upo kabisa. Ila anachofanya ni kujaribu kupigana kadiri ya uwezo wake. Ndiyo maana unaona anafikia hatua ya kuita wengine ''wapumbavu''. Hii inaonyesha anavyokasirishwa na ufisadi. Ufisadi hauwezi kuisha ila kinachotakiwa viongozi wenye ni nia ya kupigana nao. Na hii clip pengine imekufikia kwa sababu kiongozi mkuu hataki ufisadi.

Tatizo ni haya mambo ya Cash Transactions. Sijui kwanini hawapendi malipo kwa njia za Banki? Miamala kwa njia ya Benki inaacha genuine Documentations ya Money transfer movements. hii ya kutia saini kwenye A4 kwamba nimechukua kiasi fulani cha pesa ni kukaribisha upigaji?
 
Ni kweli. Na zaidi ninachoweza kuongezea ni kuwa tatizo la rushwa Tanzania linatakiwa lishughulikiwe kisayansi zaidi. Wakae watu wenye akili zao waorodheshe mianya yote ya rushwa na watoe suluhusho ni nini kinachotakiwa kufanywa ili kuondoa hizo loopholes. Kupigana kama anavyopigana rais haisaidii sana.
 
Watanzania tumekuwa Brainwashed kwamba Awamu hii inapamvana na Ufisadi. Ukweli ni kwamba kiwango cha Ufisadi awamu hii ni kikubwa mno.
Ni kikubwa kwa sababu kinakuwa exposed kuliko kipindi kilichopita. Huko kwenye halmashauri za wilaya nk.... kuna upigaji mkubwa sana. Inatakiwa ushughulikie kisayansi zaidi!
 
Back
Top Bottom