FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Sidhani kama unachoongea kuwa serikali ya China inawaambia makandarasi wao "punguzeni kwenye ubora wa kiwango..." ni ukweli.Mbona hilo ni jambo la kawaida sana katika kila halmashauri na kazi zote za kandarasi nchini. Hata kazi za ujenzi wa barabara ni hivihivi.
Makampuni ya Kichina hata wanaambiwa na serikali yao kwamba mnapodaiwa percentage punguzeni kwenye ubora wa kiwango sio kwenye faida ya kampuni. Ndio maana utaona kampuni cha China zikifanya kazi sehemu hakuna rushwa wanafanya kazi zenye ubora sana
Hapo umefika mbali sana, ya hapa kwenu usiyalinganishe na Serikali ambazo hukumu ya ufisadi ni kifo.