Video inayosambaa ikionesha jinsi upigaji wa pesa za miradi unavyotokea

Video inayosambaa ikionesha jinsi upigaji wa pesa za miradi unavyotokea

Uozo huu ni wa kimfumo.Tutaendelea kushuhudia 'manyang'au' na 'mapakashume' yakiendelea kuhujumu pesa za umma yapendavyo.Huu ni mwendelezo tu.
 
Paroko asiyefuata miiko ya kazi yake na kuwa mzinzi, hivi akipewa support ya kuyafunga madanguro mnadhani nini kitatokea?
Mfano hauhusiani na post hii

Suala ni kufanya kazina kuleta maendeleo, hiyo miko ya kazi peleka jikoni. Tunahitaji maendeleo sio miiko, kama hiyo unayoita “ukiukwaji wa miko ya kazi” hailiingizii taifa kwenye hasara basi tuendelee kupiga kazi na tumpe ushirikiano Mheshimiwa JPM. Katika wanasiasa ninaye mkubali kwa sasa ni Magufuli, kuishi au kufa mimi ni magufuli tu.
 
Kuishi au kufa wewe ni Magufuli tuu?
Kumbe ndio maana wewe ni Mla vitumbua tuu!
 
hili mbona ni kawaida sana....pesa inaliwa mno kwenye ujenzi....kuna dogo babake ni mmoja wa wateule mkurugenzi wa wilaya fulani.....dogo kapambana kasajili construction company....yaani mitaro na calvert huko yeye ndie mkandarasi...anapiga mpunga huuu huu wa sijui m12, mara 19m, mara sijui 45m,,, hana kazi wilaya ingine pale pale tuu.....duuuh ila naipenda TANZANIA.....tutafika tuu
 
Back
Top Bottom