Video inayosambaa ikionesha jinsi upigaji wa pesa za miradi unavyotokea

Video inayosambaa ikionesha jinsi upigaji wa pesa za miradi unavyotokea

Ni kweli. Na zaidi ninachoweza kuongezea ni kuwa tatizo la rushwa Tanzania linatakiwa lishughulikiwe kisayansi zaidi. Wakae watu wenye akili zao waorodheshe mianya yote ya rushwa na watoe suluhusho ni nini kinachotakiwa kufanywa ili kuondoa hizo loopholes. Kupigana kama anavyopigana rais haisaidii sana.

Nafikiri TISS Kunaweza kuwa na hiki kitengo. Lakini ni Moja ya kazi ngumu sana.

Mfano unweza kukuta sheria ya manunuzi inasema kabla ya kufanya manunuzi serikalini unatakiwa utafute wauzaji watatu wakupe profma invoice ulinganishe bei ndio ununue kwa yule mwenye unafuu. Lakini Jamaa wanaenda kwa Mlachake ambaye ametengeza vitabu vya kampuni tatu ambazo zote ni zake anaandika profoma tatu.
 
Hatuna sheria za kuzibiti mafisadi zaidi ya kufukuza. Lakini pia tuna mahakama ila hatuna mahakimu na majaji wazarendo wa kuipiga vita rushwa ! Waliopp niwachache sana wengi wao niwapiga diri. Mi nadhani iwepo sheria na serikari ifanye tearing maarum kwa majaji na mahakim wakudiri na hizi kesi. Haya yapo nabado wanafanya watumishi wa serikari wakiwemo polisi.
 
Umeona Mbali sana. Huyu Jamaa kasign amepokea hela halafu anarudi kusema hela hiyo ni ya kwenye makaratasi tu wamekula watu?

Hao anaowatuhumu hawawezi kukubali kirahirahisi hivyo.
Huyu jamaa hata haoni aibu kusema hayo anayosema na hanaona kama ni kichekesho!

Anasema walimwambia saini na usiwe na wasiwasi sisi tutakulinda! Kama wanauwezo wa kukulinda kwanini wanataka usaini?
 
What you can prove before the court ndio la msingi kule wakienda mahakamani na ulisaini kupokea pesa fulani ila ukadai uliacha asilimia kadhaa kwa mkurugenzi atakiruka mapema na niwazi unaweza shindwa vibaya mno. vinginevyo uwe na ushahidi.

Pamoja na hayo nampongeza kwa kujilipua
 
What you can prove before the court ndio la msingi kule wakienda mahakamani na ulisaini kupokea pesa fulani ila ukadai uliacha asilimia kadhaa kwa mkurugenzi atakiruka mapema na niwazi unaweza shindwa vibaya mno. vinginevyo uwe na ushahidi.

Pamoja na hayo nampongeza kwa kujilipua
Upo sahihi, kisheria hawezi kutoka huyu sababu hana uthibitisho. Ila tushajua kwanini mradi umekwama.

Halmashauri kufanya nao kazi inahitajika moyo. Hapo ukute ushawapa 10% yao, ila kila unapoomba hela wanaleta njaa.

Ni afadhali hata hela zikabaki wizarani tu, wakandarasi walipwe direct, Halmashauri wabaki kama wasimamizi tu.
 
Hakuna jipya ndani ya ccm. Wote wezi tu kuanzia baba yao wa pale magogoni panaponuka shombo karibu na soko la feri.
 
Na katika hilo ccm imefanikiwa kweli kweli kueneza propaganda za mapambio na masifu kupitia vyombo karubuni vyote vya habari.
Watanzania tumekuwa Brainwashed kwamba Awamu hii inapamvana na Ufisadi. Ukweli ni kwamba kiwango cha Ufisadi awamu hii ni kikubwa mno.
 
Nchi ya Naugua. Hapa nitakuwa nimewaacha wengi sana, Soma kitabu kinaitwa Nchi ya Naugua.
 
Back
Top Bottom