Ni kweli. Na zaidi ninachoweza kuongezea ni kuwa tatizo la rushwa Tanzania linatakiwa lishughulikiwe kisayansi zaidi. Wakae watu wenye akili zao waorodheshe mianya yote ya rushwa na watoe suluhusho ni nini kinachotakiwa kufanywa ili kuondoa hizo loopholes. Kupigana kama anavyopigana rais haisaidii sana.
Huyu jamaa hata haoni aibu kusema hayo anayosema na hanaona kama ni kichekesho!Umeona Mbali sana. Huyu Jamaa kasign amepokea hela halafu anarudi kusema hela hiyo ni ya kwenye makaratasi tu wamekula watu?
Hao anaowatuhumu hawawezi kukubali kirahirahisi hivyo.
Nanukuu " walikuwa wasema wenyewe tutakulinda"Sijafanikiwa Kujua Ni Wilaya gani lakini huu ni ushahidi tosha kwamba Tanzania ufisadi bado upo
View attachment 1280108
Upo sahihi, kisheria hawezi kutoka huyu sababu hana uthibitisho. Ila tushajua kwanini mradi umekwama.What you can prove before the court ndio la msingi kule wakienda mahakamani na ulisaini kupokea pesa fulani ila ukadai uliacha asilimia kadhaa kwa mkurugenzi atakiruka mapema na niwazi unaweza shindwa vibaya mno. vinginevyo uwe na ushahidi.
Pamoja na hayo nampongeza kwa kujilipua
Sijafanikiwa Kujua Ni Wilaya gani lakini huu ni ushahidi tosha kwamba Tanzania ufisadi bado upo
View attachment 1280108
Ufisadi upo kuanzia magogoniSijafanikiwa Kujua Ni Wilaya gani lakini huu ni ushahidi tosha kwamba Tanzania ufisadi bado upo
View attachment 1280108
Ndio muelewe sasa kwamba rushwa kwa jinsi ilivyo, ni ngumu mno watu safi kufanya kazi na hawa watu wa institution za umma. Tena hakuna yenye afadhali. Zote ndio hao haoSijafanikiwa Kujua Ni Wilaya gani lakini huu ni ushahidi tosha kwamba Tanzania ufisadi bado upo
View attachment 1280108
Utakuwa una matatizo hata ingekuwa imepita karne issue kubwa hapo ni ufisadiHii clip ni ya mwaka gani? unaweza ukawa unatulisha matango!
Sijafanikiwa Kujua Ni Wilaya gani lakini huu ni ushahidi tosha kwamba Tanzania ufisadi bado upo
View attachment 1280108
Sasa kama mtumishi unambana kumpandishia daraja au cheo ataaachaje kukupiga
Exactly [emoji122][emoji122]Ufisadi upo kuanzia magogoni
Watanzania tumekuwa Brainwashed kwamba Awamu hii inapamvana na Ufisadi. Ukweli ni kwamba kiwango cha Ufisadi awamu hii ni kikubwa mno.