Sidhani kama unachoongea kuwa serikali ya China inawaambia makandarasi wao "punguzeni kwenye ubora wa kiwango..." ni ukweli.Mbona hilo ni jambo la kawaida sana katika kila halmashauri na kazi zote za kandarasi nchini. Hata kazi za ujenzi wa barabara ni hivihivi.
Makampuni ya Kichina hata wanaambiwa na serikali yao kwamba mnapodaiwa percentage punguzeni kwenye ubora wa kiwango sio kwenye faida ya kampuni. Ndio maana utaona kampuni cha China zikifanya kazi sehemu hakuna rushwa wanafanya kazi zenye ubora sana
Kwaiyo ni wahitimu CHUO KIKUU CHA KAMATI KUU CCM wanaonyesha uwezo wa Degree 4 !Wamefundishwa na CCM, chuo kikuu cha mafisadi Tanzania
Yule mkuu wa mkoa wa manyara alifanya ufisadi wa waziwazi na akawa promoted kuwa mkuu wa mkoa sasa unasemaje anapambana na ufisadiMlachake wewe ni mkongwe hapa. Naomba usipotoshe tena. Hakuna aliyedai kuwa ufisadi umeisha Tanzania. Si Magufuli si kiongozi yoyote. Infact Magufuli kila siku analia kuwa ufisadi bado upo kabisa. Ila anachofanya ni kujaribu kupigana kadiri ya uwezo wake. Ndiyo maana unaona anafikia hatua ya kuita wengine ''wapumbavu''. Hii inaonyesha anavyokasirishwa na ufisadi. Ufisadi hauwezi kuisha ila kinachotakiwa viongozi wenye ni nia ya kupigana nao. Na hii clip pengine imekufikia kwa sababu kiongozi mkuu hataki ufisadi.
Na mkuu wao wa chuo jiwe kapiga trilioni 1.5 yupo kivulini anawacheki tu.Wamefundishwa na CCM, chuo kikuu cha mafisadi Tanzania
Wewe rudi darasani ukakariri masomo yako!hakuna bado unachojua huku Duniani! Nani alikuambia wana sign cash! Hela zote zinapita Bank lakini immediately baada ya Mkandarasi kupata hizo pesa lazima apeleke percent ya Wakubwa vinginevyo hakuna pesa kutoka tena au Mkandarasi atafanyiwa vitimbi hadi akimbie Mradi.Tatizo ni haya mambo ya Cash Transactions. Sijui kwanini hawapendi malipo kwa njia za Banki? Miamala kwa njia ya Benki inaacha genuine Documentations ya Money transfer movements. hii ya kutia saini kwenye A4 kwamba nimechukua kiasi fulani cha pesa ni kukaribisha upigaji?
anakasirishwa na ufisadi?Mlachake
Hii inaonyesha anavyokasirishwa na ufisadi. Ufisadi hauwezi kuisha ila kinachotakiwa viongozi wenye ni nia ya kupigana nao. Na hii clip pengine imekufikia kwa sababu kiongozi mkuu hataki ufisadi.
Miradi ya ujenzi inayosimamiwa na halmashauri hii ni reality. miradi yote ya ujenzi hii ni reality. Aliyekuwa waziri mwenye dhamana na ujenzi kwa muda mrefu ndiye Rais.
No wonder ujenzi ni kila mahali sasa ili wapate percent. Kuleni jamani kuleni kiongozi yuko magogoni lakini sharti mkumbuke kutuma ten percent kupitia kwa mwana mpenzi wa jiji la maji chumvi.
Faiza, ukisema hudhani ni kwamba huna taarifa mbadala juu yahuo muongozo wa serikali ya China kwa kampuni zake zinazofanya kazi nje ya China, lakini bado unatilia shaka ninachosema. Lakini ukweli ndio huo. Labda ungeniuliza nimepata wapi hizo facts.Sidhani kama unachoongea kuwa serikali ya China inawaambia makandarasi wao "punguzeni kwenye ubora wa kiwango..." ni ukweli.
Hapo umefika mbali sana, ya hapa kwenu usiyalinganishe na Serikali ambazo hukumu ya ufisadi ni kifo.
Ungekuwa na "facts" ungeziweka hapa, usingekuja na porojo. Tuhuma nzito sana kwa serikali ya China hiyo.Faiza, ukisema hudhani ni kwamba huna taarifa mbadala juu yahuo muongozo wa serikali ya China kwa kampuni zake zinazofanya kazi nje ya China, lakini bado unatilia shaka ninachosema. Lakini ukweli ndio huo. Labda ungeniuliza nimepata wapi hizo facts.
Hawalipwi cash.....unafanyiwa transfer kwenye account yako halafu wewe mwenyewe kwa makubaliano na wakubwa waliokupa kazi unaenda kutoa pesa na kuwapa wazee....Tatizo ni haya mambo ya Cash Transactions. Sijui kwanini hawapendi malipo kwa njia za Banki? Miamala kwa njia ya Benki inaacha genuine Documentations ya Money transfer movements. hii ya kutia saini kwenye A4 kwamba nimechukua kiasi fulani cha pesa ni kukaribisha upigaji?
Ukweli ni kwamba kuchukua kandarasi katika halmashauri zetu ni tabu sana.
Ili upate kandarasi lazima utoe pesa na pesa za mradi lazima mzigawane na wakurugenzi na maengineer wa wilaya.
Ili ulipwe shahiki zako lazima napo mzigawane na wakurugenzi.
Halafu wanasiasa wanalalamikia wakandarasi wa ndani hawana uwezo wakati hata kulipa hawalipwi kwa wakati na hicho kidogo wanacholipwa wanakigawana na wakurugenzi.
Hawalipwi cash.....unafanyiwa transfer kwenye account yako halafu wewe mwenyewe kwa makubaliano na wakubwa waliokupa kazi unaenda kutoa pesa na kuwapa wazee....
where there is collusion ya kufanya ufisadi, hakuna control system itafanya kazi...
Paroko asiyefuata miiko ya kazi yake na kuwa mzinzi, hivi akipewa support ya kuyafunga madanguro mnadhani nini kitatokea?Magufuli anakazi ngumu sana, ila tuendelee kumpa support. Hawa wezi watafutwe wafikishwe mahakamani