Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

..huyu Mama amekosea kutupa ki-note alichopelekewa.

..lakini inaonyesha kuna tatizo kati yake na watu wa chini yake, watumishi wenzake.

..kuondolewa ktk nafasi yake ni sahihi ili akapate nafasi ya kujitafakari.

..kwa upande mwingine sipendi kumlaumu kwasababu inaelekea alizidiwa na hasira / machungu na kwa bahati mbaya ilikuwa mbele ya kadamnasi.
 
True

baada ya kupewa kile kimemo alikisoma, akajaribu kupotezea nafsi ikakataa …akapitisha ukimya kwa sekunde kadhaa akiwa ameduaaa, ghadhabu Zikaendelea, kile kimemo ingefaa kitafutwe …isije ikawa pia kuna udhalilishaji ulifanyika maana alikazania sana kusema kuna insubordination mara kadhaa
 
Huyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Ulikisoma hicho 'ki-note' kilisema nini?

Kuuliza hilo swali siyo maana naunga mkono alichofanya huyo katibu mkuu.

Hao uliowataja hapo juu, hivyo 'vi-note' vyao uliviona na kujua vilihusu nini?

Jambo la muhimu hapa ni maudhui ya kikao hicho na mambo yaliyokuwa yakijadiliwa, na siyo ki'note'.
 
Na hio kazi ya mwanamke kulea wtt pia huyo mwanamke awe na hikma maana katika hao wtt pia kuna na wa kiume ambao wanatakiwa wawe viongozi wa baadae. Sasa kama mama mwenyewe anakuwa hana hikma hao wtt si nao watakuwa kama yeye either wawe wa kike au wa kiume
 
Hicho kinote kiliandikwa Nini?tuanzie hapo.
 
Itakuwa mme wake hamkazi vizuri .
Naam hili jambo lafanyika kwa hatua......
Kwanza maandalizi.....
Kwa uchache angalau amnyonye chuchu....wakati huo huo anachezea kiharage....pamoja na mashavuye....kwa utartiiiib anaweza jongea mpaka G point.
Kisha unamuinjika kichwa tu...halafu unasikilizia anavyo kibanabana.......itaendelea.....🙂
 
Attachment
 

Attachments

  • 1692468871976.jpg
    33.3 KB · Views: 1
Angelichkulia suala kihekima zaidi ukweli ungejulikana. Moja katika sifa za uongozi ni kuwa na hikma na busara.
 
Hawa wanawake wanafanya sana kazi kwa stress. Unakuta ofisini full visirani, attitudes za ajabu na makasiriko. Sasa bora ametumbuliwa, akapeleke stress zake kwa familia yake, pumbavu
Hivi kwanini wengi wako hivi, nini huwa kinawasababisha kuwa hivi? Sababu hata customer service ya wahudumu wengi wa kike huwa si nzuri
 
Inawezekana jina lake pia la KIMBA limesababisha atimuliwe.
 
Huyo katibu mkuu anauwezo wa kufanya figisu kwa mfanyakazi yoyote kwenye wizara yake kufutwa kazi. Kama hicho kimemo kilikua ni kibaya unadhani huyo aliompelekea hapendi ugali wake?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…