dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Ila huyo mwamba aliye deliver kinote kammaliza haswa! Hatokaa amsahau forever!Hana jipya vikaratasi kama hivyo wanapewa hadi maraisi yeye kazingua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila huyo mwamba aliye deliver kinote kammaliza haswa! Hatokaa amsahau forever!Hana jipya vikaratasi kama hivyo wanapewa hadi maraisi yeye kazingua tu
True..huyu Mama amekosea kutupa ki-note alichopelekewa.
..lakini inaonyesha kuna tatizo kati yake na watu wa chini yake, watumishi wenzake.
..kuondolewa ktk nafasi yake ni sahihi ili akapate nafasi ya kujitafakari.
..kwa upande mwingine sipendi kumlaumu kwasababu inaelekea alizidiwa na hasira / machungu na kwa bahati mbaya ilikuwa mbele ya kadamnasi.
Ulikisoma hicho 'ki-note' kilisema nini?Huyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Na hio kazi ya mwanamke kulea wtt pia huyo mwanamke awe na hikma maana katika hao wtt pia kuna na wa kiume ambao wanatakiwa wawe viongozi wa baadae. Sasa kama mama mwenyewe anakuwa hana hikma hao wtt si nao watakuwa kama yeye either wawe wa kike au wa kiumeMimi ni psycologist, kiasili mwanamke hutumia moyo (hisia) katika maamuzi na hafai kuwa kiongozi na hilo ni agizo la Mungu mwenyewe, kazi ya mama ni kulea watoto!basi!
Mwanaume hutumia brain kuamua na koromeo kuizuia hasira na hata kama boss mwanaume anakuchukia unabeba demu mkali anaemtaka ila kama unapiga kazi hufukuzwi na hakuonei na cheo utapanda!
Nyie wabongo endeleeni nao tu hao Beijing wajazeni Kila wizara ila siku mkijashtuka mchwa kamaliza mbao yote ndani!
Unyama tu alafu unakuta kimeandikwa toka hapo mbele unasauti kama kondoo😂😂😂Ila huyo mwamba aliye deliver kinote kammaliza haswa! Hatokaa amsahau forever!
Naam hili jambo lafanyika kwa hatua......Itakuwa mme wake hamkazi vizuri .
Ndivyo ulivyoelewa..? OkDuuh Katiba Mpya itakataza hadi kumpeleka kimemo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji akiwa anazungumza ?
Kitabu cha Katiba mpya itabidi kibebwe kwny kontena
Angelichkulia suala kihekima zaidi ukweli ungejulikana. Moja katika sifa za uongozi ni kuwa na hikma na busara.True
baada ya kupewa kile kimemo alikisoma, akajaribu kupotezea nafsi ikakataa …akapitisha ukimya kwa sekunde kadhaa akiwa ameduaaa, ghadhabu Zikaendelea, kile kimemo ingefaa kitafutwe …isije ikawa pia kuna udhalilishaji ulifanyika maana alikazania sana kusema kuna insubordination mara kadhaa
Kwani samia ye nana mpka umtolee mfanoSamia anapewa memo yeye anakasirika nini
Hivi kwanini wengi wako hivi, nini huwa kinawasababisha kuwa hivi? Sababu hata customer service ya wahudumu wengi wa kike huwa si nzuriHawa wanawake wanafanya sana kazi kwa stress. Unakuta ofisini full visirani, attitudes za ajabu na makasiriko. Sasa bora ametumbuliwa, akapeleke stress zake kwa familia yake, pumbavu
Inawezekana jina lake pia la KIMBA limesababisha atimuliwe.View attachment 2721390
Imbainika kuwa kuwa chanzo cha Rais Samia kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni kitendo cha kuonesha kiburi, dharau na kutoa lugha za kejeli kwa mfanyakazi wa Wizara hiyo aliyeenda kwenye Podium wakati akiwa anazungumza na kumpa 'Kinote'.
Jambo hilo lilionekana kumkasirisha Katibu Mkuu Nadhifa Kemikimba na akaamua kukatisha hatuba yake na kwenda kukaa.
Muda mfupi baadaye Waziri wa Maji alisogea kwenye Podium na kumuomba radhi Katibu Mkuu.
Hujawahi kusikia akisema: STUPID'?Samia anapewa memo yeye anakasirika nini
Huyo katibu mkuu anauwezo wa kufanya figisu kwa mfanyakazi yoyote kwenye wizara yake kufutwa kazi. Kama hicho kimemo kilikua ni kibaya unadhani huyo aliompelekea hapendi ugali wake?..True
baada ya kupewa kile kimemo alikisoma, akajaribu kupotezea nafsi ikakataa …akapitisha ukimya kwa sekunde kadhaa akiwa ameduaaa, ghadhabu Zikaendelea, kile kimemo ingefaa kitafutwe …isije ikawa pia kuna udhalilishaji ulifanyika maana alikazania sana kusema kuna insubordination mara kadhaa