Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

ᴍᴋᴜᴜ ᴘᴏʟᴇ sᴀɴᴀ
 
Itakuwa alilishwa matango pori na wasomi uchwara ambao King.Msukuma huwa anawaponda siku zote. Wasomi wengi wa nchi hii porojo nyingi na maandishi mengi ila output zero.
 
Hawa wapuuzi wa ccm wao ni maokoto tu kwenda mbele
 
Nape amezuia hata starlink kwenye dunia ya leo......ni shida....hakika...afya ya akili...anahitaji msaada huyu mnyakyusa wa kimakonde.
 
Issue ni deforestation miti isiopungua million mmoja eneo mmoja si haba.
Hilo bwawa limejazwa na maji yaliotoka Dodoma na Singida,ukiongezea Iringa,Morogoro,Pwani n.k
Madhara yakukata miti tunajua wala hakuna haja ya kurudia rudia.Kinachotakiwa kwa sasa ni kupanda mabilioni ya miti katika mikoa kadhaa.Pia kuanza kutumia nishati ya gesi asilia badala ya kuni nchi nzima.
Vinginevyo hilo bwawa kuna siku litakosa maji kama tulivyoshuhudia Katika mabwawa mengine ya Mtera,Kidatu,Kihazi,Nyumba ya Mungu.Bila Maji hakuna umeme.
 
Mbona kama lips zipo tofaut na maneno
 
Huyo na yule mwenzake kipara ni takataka zinazopaswa kuwa jalalani
Wanatuchezea akili zetu..imagine pamoja na ujanja ujanja wao wa wazi katika upigaji bado Mama akawapa wizara.
Eti Kipara Waziri wa nishati..kweli?
 
Na wewe unamuweka mtoto wa Vasco Dagama kuwa mwenye akili? Ridhwani hamna kitu kichwani kama baba yake tu!!
 
Haya maneno aliongea Magu akiwa keshaenda!?
 
Na wewe unamuweka mtoto wa Vasco Dagama kuwa mwenye akili? Ridhwani hamna kitu kichwani kama baba yake tu!!
Ila ukimlanganisha na Nape, Ridhwan anakuwa Einstein kabisa. Nape ni bogus la mwisho kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…