Nakumbuka tulipokuwa watoto, kulikuwa na mtu mmoja ambae alikuwa ni 'designated dumbass' wa kikundi.
Ikiwa tunataka kitu na tunajua ni cha hatari basi huyo mtu alikuwa anawekwa yeye kama front, kikisanuka msala unakuwa wake. SIfa kubwa ya mtu huyo ni kuwa na upeo mdogo wa kuweza kung'amua mambo na mara nyingi huwa ana force kufit in na wengine.
Huko sisiemuni mtu huyo ni Nape, Nape huwa hajui athari ya kauli zake as long as keshatumwa na wenzie. Ili aonekane 'one of the boys' huwa anabwatuka tu, na kikinuka msala unamuangukia yeye.
Group analotaka Nape a fit in ni la kina January na Ridhwani, but in reality Nape is too dumb to be one of them, hivyo wenzie humfanya chambo cha kutimiza dhamira zao.
Mengi anayosema Nape ni kwa kutumwa tu na wenzie, huwa sio kwa utashi wake wala uelewa wake.