Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

Na hawa waliopiga Makofi wote ni ccm wale wale.

😂😂
 
Nyie Watanzania mnanikumbusha kitabu cha Prof: Chachage cha Makuhadi wa mabeberu. Sijui nitakipata wapi. Anayejua kilipo aniambie
 
Mbona mpango kazi ulishaeleza bayana kwamba zoezi la ukataji hiyo miti linaenda sambamba za upandaji miti sehemu zingine, mbona mnavichwa vigumu sana?
 
Anajua hata maana ya mazingira, zaidi ya kuwa kasuku
 
Soma comment no 44 kiongozi sometimes vitu kama hivyo vinatuchelewesha wa Tz
 
Aiseeh na vyombo vyetu vya ysarama vipo. Kwani huyu rostam ana fanya kwa masrah yanan mkuu?
 
Mbona mpango kazi ulishaeleza bayana kwamba zoezi la ukataji hiyo miti linaenda sambamba za upandaji miti sehemu zingine, mbona mnavichwa vigumu sana?
Not good enough, the rate of deforestation ni kubwa mno.
 
mnafiki sana kama T lissu siwezi kuwapigia kampeni ya kuwa marais barani africa.tena kundi lote lilopinga ujenzi wa BWAWA LA NYERERE inabidi taifa lipinge kwa nguv sana wasije kuwa mawaziri au ma marais wa taifa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…