Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli?!


Video ipo chini.
View attachment 2918032
Na hawa waliopiga Makofi wote ni ccm wale wale.

😂😂
 
Kungekuwa na degree za unafiki Nape alitakiwa awe na PhD ya Unafiki.

Kungekuwa na Wizara ya Unafiki, Nape alitakiwa awe Waziri wa hiyo Wizara ......!!

Kungekuwa na Mashindano ya Dunia ya Unafiki, Nape alitakiwa aiwakirishe Tanzania akisaidiawa na Kocha wake Mzee Makamba!!

Unafiki wa Nape ni wa Kiwango cha juu sana kuwahi kuonekana Tanznania.
Nyie Watanzania mnanikumbusha kitabu cha Prof: Chachage cha Makuhadi wa mabeberu. Sijui nitakipata wapi. Anayejua kilipo aniambie
 
Issue ni deforestation miti isiopungua million mmoja eneo mmoja si haba.
Hilo bwawa limejazwa na maji yaliotoka Dodoma na Singida,ukiongezea Iringa,Morogoro,Pwani n.k
Madhara yakukata miti tunajua wala hakuna haja ya kurudia rudia.Kinachotakiwa kwa sasa ni kupanda mabilioni ya miti katika mikoa kadhaa.Pia kuanza kutumia nishati ya gesi asilia badala ya kuni nchi nzima.
Vinginevyo hilo bwawa kuna siku litakosa maji kama tulivyoshuhudia Katika mabwawa mengine ya Mtera,Kidatu,Kihazi,Nyumba ya Mungu.Bila Maji hakuna umeme.
Mbona mpango kazi ulishaeleza bayana kwamba zoezi la ukataji hiyo miti linaenda sambamba za upandaji miti sehemu zingine, mbona mnavichwa vigumu sana?
 
Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli?!


Video ipo chini.
View attachment 2918032
Anajua hata maana ya mazingira, zaidi ya kuwa kasuku
 
Vizuri umetuwekea video. Nimezisikiliza hoja zake, kimsingi hakukataa mradi, bali alihitaji sheria zilizopitishwa bungeni huko nyuma katika suala kama hilo linapojitokeza zifuatwe. Na akazisoma hizo sheria ambazo hazikufuatwa. Sasa hapo kosa lake ni lipi?

Tatizo la watanzania ni kwamba, sheria tunaziweka wenyewe kupitia chombo chenye dhamana hiyo "Bunge". Halafu akija kiongozi akizifuata ni kosa. Sasa sisi ni watu wa aina gani.

Acheni mpigwe tu mpaka kwenye KATIBA ya nchi. Katiba imegeuzwa kuwa GAZETI TU.
Soma comment no 44 kiongozi sometimes vitu kama hivyo vinatuchelewesha wa Tz
 
Huyo ni mmojawapo wa watu wanaotakiwa kuuliwa haraka sana maana ni jambazi wa taifa kundi moja na Rostam azizi ambaye huyo rostam azizi ana ongoza kundi la raia feki serikalini kazi yao ni kuifanya serikali kuwa mali yao binafsi na kumuangamiza kila mzalendo kwa gharama yoyote.
Aiseeh na vyombo vyetu vya ysarama vipo. Kwani huyu rostam ana fanya kwa masrah yanan mkuu?
 
Mbona mpango kazi ulishaeleza bayana kwamba zoezi la ukataji hiyo miti linaenda sambamba za upandaji miti sehemu zingine, mbona mnavichwa vigumu sana?
Not good enough, the rate of deforestation ni kubwa mno.
 
mnafiki sana kama T lissu siwezi kuwapigia kampeni ya kuwa marais barani africa.tena kundi lote lilopinga ujenzi wa BWAWA LA NYERERE inabidi taifa lipinge kwa nguv sana wasije kuwa mawaziri au ma marais wa taifa hili
 
Back
Top Bottom