Yehoshafati
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 298
- 596
Hawa jamaa muda mwingine unajiuliza nia yap ya kuwa viongozi katika taifa ni niniNape ni MNAFIKI mbobezi...
Moyo unamuuma sana wananchi kuanza kupata umeme wa uhakika....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa muda mwingine unajiuliza nia yap ya kuwa viongozi katika taifa ni niniNape ni MNAFIKI mbobezi...
Moyo unamuuma sana wananchi kuanza kupata umeme wa uhakika....
Si kila makofi huwa ya kushangilia.Ukistaajabu ya Nape hapo kwenye video HUJAONA hayo makofi behind😅😅😅😅
Makofi yoote hayo yanapigwa na watu wenye akili kabisaa
Huyu nape hadi Busara alinyimwa na Mola, kumbuka maneno ya kejeli na kipuuzi aliyosema kuhusu Marehemu LowasaLakini kuna watu wengine Shule hakuna lakini busara ipo
Na hawa waliopiga Makofi wote ni ccm wale wale.Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli?!
Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa
Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa. Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema...www.jamiiforums.com
Video ipo chini.
View attachment 2918032
Nyie Watanzania mnanikumbusha kitabu cha Prof: Chachage cha Makuhadi wa mabeberu. Sijui nitakipata wapi. Anayejua kilipo aniambieKungekuwa na degree za unafiki Nape alitakiwa awe na PhD ya Unafiki.
Kungekuwa na Wizara ya Unafiki, Nape alitakiwa awe Waziri wa hiyo Wizara ......!!
Kungekuwa na Mashindano ya Dunia ya Unafiki, Nape alitakiwa aiwakirishe Tanzania akisaidiawa na Kocha wake Mzee Makamba!!
Unafiki wa Nape ni wa Kiwango cha juu sana kuwahi kuonekana Tanznania.
Nicheke kwanza😂😂Yaaan Tanzania tuna mapori kibao yanatusaidia nn
Sisi ni majinga sanaa
Mbona mpango kazi ulishaeleza bayana kwamba zoezi la ukataji hiyo miti linaenda sambamba za upandaji miti sehemu zingine, mbona mnavichwa vigumu sana?Issue ni deforestation miti isiopungua million mmoja eneo mmoja si haba.
Hilo bwawa limejazwa na maji yaliotoka Dodoma na Singida,ukiongezea Iringa,Morogoro,Pwani n.k
Madhara yakukata miti tunajua wala hakuna haja ya kurudia rudia.Kinachotakiwa kwa sasa ni kupanda mabilioni ya miti katika mikoa kadhaa.Pia kuanza kutumia nishati ya gesi asilia badala ya kuni nchi nzima.
Vinginevyo hilo bwawa kuna siku litakosa maji kama tulivyoshuhudia Katika mabwawa mengine ya Mtera,Kidatu,Kihazi,Nyumba ya Mungu.Bila Maji hakuna umeme.
Anajua hata maana ya mazingira, zaidi ya kuwa kasukuBaada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli?!
Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa
Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa. Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema...www.jamiiforums.com
Video ipo chini.
View attachment 2918032
Soma comment no 44 kiongozi sometimes vitu kama hivyo vinatuchelewesha wa TzVizuri umetuwekea video. Nimezisikiliza hoja zake, kimsingi hakukataa mradi, bali alihitaji sheria zilizopitishwa bungeni huko nyuma katika suala kama hilo linapojitokeza zifuatwe. Na akazisoma hizo sheria ambazo hazikufuatwa. Sasa hapo kosa lake ni lipi?
Tatizo la watanzania ni kwamba, sheria tunaziweka wenyewe kupitia chombo chenye dhamana hiyo "Bunge". Halafu akija kiongozi akizifuata ni kosa. Sasa sisi ni watu wa aina gani.
Acheni mpigwe tu mpaka kwenye KATIBA ya nchi. Katiba imegeuzwa kuwa GAZETI TU.
Alikuwepo badoHaya maneno aliongea Magu akiwa keshaenda!?
Aiseeh na vyombo vyetu vya ysarama vipo. Kwani huyu rostam ana fanya kwa masrah yanan mkuu?Huyo ni mmojawapo wa watu wanaotakiwa kuuliwa haraka sana maana ni jambazi wa taifa kundi moja na Rostam azizi ambaye huyo rostam azizi ana ongoza kundi la raia feki serikalini kazi yao ni kuifanya serikali kuwa mali yao binafsi na kumuangamiza kila mzalendo kwa gharama yoyote.
Alikuwa tayari ameshaenda.., nakumbuka vizuriAlikuwepo bado
Not good enough, the rate of deforestation ni kubwa mno.Mbona mpango kazi ulishaeleza bayana kwamba zoezi la ukataji hiyo miti linaenda sambamba za upandaji miti sehemu zingine, mbona mnavichwa vigumu sana?
Zoezi la upandaji miti bado linaendelea na litaendelea siku zote, japo ukataji miti kwenye hilo bwawa umeshakamilikaNot good enough, the rate of deforestation ni kubwa mno.
OkAlikuwa tayari ameshaenda.., nakumbuka vizuri