Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

Huyo na yule mwenzake kipara ni takataka zinazopaswa kuwa jalalani
We waone takataka, lkn ndo wanaokula kodi yako kwa kufanyia matanuzi watakavyo na huna la kuwafanya!
 
Nape hajawahi kuwa na Akili Elimu ya kuunga unga huwa ni tatizo.
 
Ili kulisaidia Taifa, tuanze kupeleka watoto wetu shule zenye kuelimisha. Kuna wakati unashangaa jinsi fikra zetu zilivyo
 
Eti inaletea heshima inchi wakati tupo gizani haya ni matopetu . USA, CHINA wamegoma kusign mkataba wa wkulinda athari za mabadiliko ya tabia ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…