Thibitisha.Nape na January wana kampuni yao ya kuuza majenereta na solar panels
Otherwise we ni mpika majungu tu ya kimasikini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha.Nape na January wana kampuni yao ya kuuza majenereta na solar panels
We waone takataka, lkn ndo wanaokula kodi yako kwa kufanyia matanuzi watakavyo na huna la kuwafanya!Huyo na yule mwenzake kipara ni takataka zinazopaswa kuwa jalalani
Akili za kimasikini hizoTundu Lisu, Maria sarungi, Fatma karume,Nape, makamba, wasitumie kabisa huu umeme wa bwawa la nyerere, waliisaliti nchi sana kipindi kile.
Wewe ndiye masikini unayeona Nape na January hawawezi kumiliki kampuni ya kuuza majenereta.Thibitisha.
Otherwise we ni mpika majungu tu ya kimasikini
Nape hajawahi kuwa na Akili Elimu ya kuunga unga huwa ni tatizo.Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli?!
Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa
Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa. Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema...www.jamiiforums.com
Video ipo chini.
View attachment 2918032
hahahaaaa bro clapping hands stands for applause!Si kila makofi huwa ya kushangilia.
Ever heard of satire bro? Look it up.hahahaaaa bro clapping hands stands for applause!
haisimami katika makofi😂😂😂.It is well used in writing..Ever heard of satire bro? Look it up.
TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi. TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa Shirika hilo akiongea mbele ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyofanyika Viwanja...www.jamiiforums.com
NakaziaAlitumwa na mabeberu
IPTL naona wameanza tena na yule Singasinga, eti wanataka kumpa Trillion 1.8 wakati hakuna wanachozalisha.., umeme tunao mwingiTuachane Na Umeme Wa Mataperi
Ila Unajua Ni Uhuni Tu Wa Viongozi Wetu Yaani Hana Anachozalisha IPTL Ila Anakwenda CourtIPTL naona wameanza tena na yule Singasinga, eti wanataka kumpa Trillion 1.8 wakati hakuna wanachozalisha.., umeme tunao mwingi
Eti inaletea heshima inchi wakati tupo gizani haya ni matopetu . USA, CHINA wamegoma kusign mkataba wa wkulinda athari za mabadiliko ya tabia ya nchi.Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli?!
Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa
Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa. Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema...www.jamiiforums.com
Video ipo chini.
View attachment 2918032