FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli?!
www.jamiiforums.com
Video ipo chini.
Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa
Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa. Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema...
Video ipo chini.