Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli?!

Video ipo chini.
 
View attachment 2918032
Aliyemteua ina maana hajui haya? Wanashirikiana.
 
Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli?!

Video ipo chini.
View attachment 2918032
kuna watu hawastahili kabisa kuwa viongozi, ila wabaki chawa tu. nape ni mmojawapo.
 
Nakumbuka tulipokuwa watoto, kulikuwa na mtu mmoja ambae alikuwa ni 'designated dumbass' wa kikundi.

Ikiwa tunataka kitu na tunajua ni cha hatari basi huyo mtu alikuwa anawekwa yeye kama front, kikisanuka msala unakuwa wake. SIfa kubwa ya mtu huyo ni kuwa na upeo mdogo wa kuweza kung'amua mambo na mara nyingi huwa ana force kufit in na wengine.

Huko sisiemuni mtu huyo ni Nape, Nape huwa hajui athari ya kauli zake as long as keshatumwa na wenzie. Ili aonekane 'one of the boys' huwa anabwatuka tu, na kikinuka msala unamuangukia yeye.

Group analotaka Nape a fit in ni la kina January na Ridhwani, but in reality Nape is too dumb to be one of them, hivyo wenzie humfanya chambo cha kutimiza dhamira zao.

Mengi anayosema Nape ni kwa kutumwa tu na wenzie, huwa sio kwa utashi wake wala uelewa wake.
 
Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli?!

Video ipo chini.
View attachment 2918032
Kungekuwa na degree za unafiki Nape alitakiwa awe na PhD ya Unafiki.

Kungekuwa na Wizara ya Unafiki, Nape alitakiwa awe Waziri wa hiyo Wizara ......!!

Kungekuwa na Mashindano ya Dunia ya Unafiki, Nape alitakiwa aiwakirishe Tanzania akisaidiawa na Kocha wake Mzee Makamba!!

Unafiki wa Nape ni wa Kiwango cha juu sana kuwahi kuonekana Tanznania.
 
Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli?!

Video ipo chini.l
Alihongwa. Anapenda kula rushwa😭😭..mkiwafuata watu kama nape mtabakia kama ile hadithi ya biblia wale mayahudi walizungua jangwani miaka arobaini bila kufika mahali wanakwenda umbali kama kilometa 500 hivi.
 
Back
Top Bottom