Video: Jerry Muro aropoka na kusema Rais ni wa ovyo

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale wakigeni katika ardhi ya Tanganyika.

Hatimae wafuasi na wapambe wa chama tawala wameanza kujitokeza kujaribu kujibu hoja mujarabu na jadidi za Gwaji boy .

AKiwa katika moja ya harakati hizo za uchawa, ndugu Jerry MURO amejikuta akiropoka na kusema Raisi ni wahovyo na hata akiwa wa hovyo anapaswa kuheshimiwa.

Sisi wadau tunasema hacha inyeshe, mdomdo Kuna watu maji wataita mmaπŸ˜‹

Your browser is not able to display this video.
 
Sasa itakuwaje
 
Ni acha sio hacha.
 
Umechagua palipokunogea.
 
This must be true because a famous scientist said it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…