Video: Jerry Muro aropoka na kusema Rais ni wa ovyo

Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale wakigeni katika ardhi ya Tanganyika.

Hatimae wafuasi na wapambe wa chama tawala wameanza kujitokeza kujaribu kujibu hoja mujarabu na jadidi za Gwaji boy .

AKiwa katika moja ya harakati hizo za uchawa, ndugu Jerry MURO amejikuta akiropoka na kusema Raisi ni wahovyo na hata akiwa wa hovyo anapaswa kuheshimiwa.

Sisi wadau tunasema hacha inyeshe, mdomdo Kuna watu maji wataita mma😋

View attachment 3347696
wadau tunasema hacha inyeshe, mdomdo Kuna watu maji wataita mma😋

Mwamba kama njinjo, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah atakuwa anaukumbuka u dc. Zile jitihada zetu za kugombea minofu ya kutupiwa.
 
Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale wakigeni katika ardhi ya Tanganyika.

Hatimae wafuasi na wapambe wa chama tawala wameanza kujitokeza kujaribu kujibu hoja mujarabu na jadidi za Gwaji boy .

AKiwa katika moja ya harakati hizo za uchawa, ndugu Jerry MURO amejikuta akiropoka na kusema Raisi ni wahovyo na hata akiwa wa hovyo anapaswa kuheshimiwa.

Sisi wadau tunasema hacha inyeshe, mdomdo Kuna watu maji wataita mma😋

View attachment 3347696
Kmmmk walllah
 
CC; Saa100
 
IMG-20250526-WA0143.jpg
 
Daaaaah... Tlaatlaah ChoiceVariable Lucas Mwashambwa hiii kauli nadhani tunakubaliana nayo. Hata kama raisi ni wa hovyo kiasi gani. Ndo tunaye. Lazima tumtii.
 
Kwamba rais hata kama ni WA hovyo kiasi Gani kupindukia lakini anataka tumheshimu?uchawa ni hatari sana
 
Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale wakigeni katika ardhi ya Tanganyika.

Hatimae wafuasi na wapambe wa chama tawala wameanza kujitokeza kujaribu kujibu hoja mujarabu na jadidi za Gwaji boy .

AKiwa katika moja ya harakati hizo za uchawa, ndugu Jerry MURO amejikuta akiropoka na kusema Raisi ni wahovyo na hata akiwa wa hovyo anapaswa kuheshimiwa.

Sisi wadau tunasema hacha inyeshe, mdomdo Kuna watu maji wataita mma😋

View attachment 3347696
Ndo maana tunasema hawa machawa wanafikiri wanamsafisha, kumbe ndo wanazidi kumchafua. Wanatumia mihemko badala ya logic and critical thinking.
 
Back
Top Bottom