Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Hovyo
Mama Samia ni wa ovyoooBaada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale wakigeni katika ardhi ya Tanganyika.
Hatimae wafuasi na wapambe wa chama tawala wameanza kujitokeza kujaribu kujibu hoja mujarabu na jadidi za Gwaji boy .
AKiwa katika moja ya harakati hizo za uchawa, ndugu Jerry MURO amejikuta akiropoka na kusema Raisi ni wahovyo na hata akiwa wa hovyo anapaswa kuheshimiwa.
Sisi wadau tunasema hacha inyeshe, mdomdo Kuna watu maji wataita mma😋
View attachment 3347696
Mkuu huwa una misamiati mifupi lakini ukifuatilia maana zake huwa ni shule sana. Binafsi nimejifunza kitu kipya hiki sikuwa nakijua "Authority Logical Fallacy"
Muro ajiandae kuanikwa walivyokuwa wakitafunana na Mzee wa Kolomije.😆😆😆😆
Yote yanawezekanaWanadai ni AI et
Ooh kumbe? Toka lini?Niliandika mahali humu JF, kuwa huyu ni miongoni mwa wapinzani wa SSH ambaye ameamua kuingia kwa gia ya kuonekana kama anamtetea
Mdogo mdogoWatu wanaiunga mkono No Reform No ELECTION kimoyomoyo sasa wanaanza kusema LIVE
KUNAKUCHA!!Mdogo mdogo
Huenda pia ni drama baada ya kuona chama cha ubwabwa na wale njaa 55 hawana jipya wakaona waunde kaupinzani kao na gwaji boy ni karata yao🤔🤔Watu wanaiunga mkono No Reform No ELECTION kimoyomoyo sasa wanaanza KUTAPIKA