Video: Jerry Muro aropoka na kusema Rais ni wa ovyo

Kwakweli tuzingatie tu neno moja tu'[Hata kama ni wa hovyo namna gani]​
 
Mwingine huyu hapa
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/16eM6jHXvt/
 
chawa wanahangaika na uteuzi kwani ukikaa na biashara zako ukapata ugali wako na wanao hutaishi? watu wanajidhalilisha kutetea upuuzi kwa maslahi binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…