Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

Iran mwanaume anapiga km zaidi ya 2000 na analenga target .hii ni hatari sanaa
 
Nice observation. Bila Iran kugongwa, hiyo sapoti anayotoa itaendelea.
Open your mind. Iran ina nyuklia mind you, na ni nchi tajiri na ina allies kama Turkey, China na Russia. Sio vita ya nchi mbili jinsi unawaza kwa mtazamo wa kuchakazwa gaza isiyo na serikali wala silaha, ndo maana US wanadiscuss njia za amani na sio vita. Iran hatagongwa, watagongana na Israel. Shule zimefungwa Israel baada ya makombora ya jana watu Israel wameambiwa wakae mkao wa kukimbia mda wote ukiona kombora linashuka!!

Source : Al Jazeera TV 📺
Amka
 
Makombora yanaonekana kutua kuelekea yalikokusudiwa wewe unasema yametunguliwa.
Jerusalem ndipo ilipo nyumba moja ya Netanyahu.
Msemaji wa kijeshi wa Israel anasema "idadi kubwa" ya makombora ya Iran yalitunguliwa ila hasemi kuhusu yale makombora ambayo hayakutunguliwa yalipiga wapi , ni mangapi na hali ikoje huko ambako watu wamejifungia basement!!
 
Huu mzozo propaganda zitashinda hata kama unashindwa kwenye vita. Tulichokiona na kushuhudia kule russia/ukraine ndio kinaenda kujirudia huku.israel vs iran.

Huu kidogo utakuwa wazi. Maana media nyingi za kiarabu zitaonyesha kile halisi kinachotokea.
Maoni yangu.. wakae kwenye meza ya mazungumzo.
 
Kwanza kwa vingora na taarifa za kabla na baada ya iran kurusha makombora, imewafanya waizrael waishi kwa shida na tabu...
Acha nao waonje machungu wanayopitia wapalestina.
 
Huna hata akili hata hujui iron dome israel kaitoa wapi unabwabwaja tu akili za taifa teule
 
Facts
 
waislam sijui mlilogwa na nan
 
Inadhaniwa kuwa Iran ina silaha za nyuklia ambazo inatafuta pa kwenda kufanya majaribio na inaweza kuwa Israel ambako raia wake wote wanaichukia sana.
Uongo, Iranians hate the Islamic regime of Ayatollah.
 
Wayahudi na wazungu wanawadekeza hawa waarabu na waajemi waliokuzwa ktk imani ya chuki na ubaguzi wa kidini. Magaidi hawachagui pa kupiga wao wanatumia pesa nyingi kujilinda na kuchagua pa kupiga, walitakiwa kurudisha majibu kwa namna ile ile magaidi wanavyofanya ndiyo wangekoma, la sivyo ugaidi hautaisha duniani. Unafuataje sheria za kivita kwa mtu asuyefuata sheria!
 
dogo Iran hakupiga civilian target zote ni military facilities na sehemu muhimu sana kwa Israel, huyo c kichaa avunje majumba ya raia au kuwauwa watoto na FYI angeweza kurusha hizo drone au missiles bila hata Israel kujua


Kafanya maksudi kuwafonyesha Us na Israel natuma missiles haya zitungurni basi tuwaone kama mnaubavu huo wa kuziangusha zote 😄
 
Una akili sana huku Urusi yuko na Ukrein hawezi kuingilia IRAN akiwa anapigwa mchina muoga kiduku huwezi kua nae na uhakika USA ni muhuni sana
 
Acha ushabiki mandazi nchi zenye nuclear vita hiwezi kua rahisi ivyo au hujui kwamba huyo kibaraka wa US ana nuclear
 
Bora Iran ame ni expose ili dunia imshighulikie na sio kama alivyokuwa anatuma askari na vifaa kujifanya Hamas
 
😄 missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.

Iran ni level ingine.
NISISIKIE NYOKO NYOKO CEASE FIRE
 
Nimejikuta nacheka, yaani makombora 500 yote hakuna hata moja limepiga popote, kwa keli waburuza dera/kanzu mnatia huruma, huyo hapo Iran ndiye kiongozi wenu nyote...ndiye alikua tegemeo lenu duniani....
''Shambulio hilo halikulenga maslahi yoyote ya kiraia au kiuchumi, badala yake lililenga mali za kijeshi, haswa kituo cha kijasusi katika Mlima Hermon ambacho kilitumika kuwezesha shambulio la ubalozi mdogo wa Irani nchini Syria, pamoja na Nevatim Airbase katika jangwa la Negev kutoka. ambapo ndege za kivita za Israel zilizolenga ubalozi mdogo zilizinduliwa.

Bagheri alisema wote wawili "waliharibiwa sana na walemavu" na akaonya kwamba Iran inaweza kufanya mashambulizi "mara kumi zaidi".

Wasiwasi wako ni nini? mbona G7 saivi hawaishi vikao kujadili mnyama alivyojibu mapigo?? toa video zako uchwara hapa Iran imekiri wamefanikiwa hassa kwa kiwango walichotaka.
 

Kumbe mwamba ngoma aliacha lini kuvutia kwake?



Habari ndiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…