Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Mbona huweki yale yaliyotua chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Open your mind. Iran ina nyuklia mind you, na ni nchi tajiri na ina allies kama Turkey, China na Russia. Sio vita ya nchi mbili jinsi unawaza kwa mtazamo wa kuchakazwa gaza isiyo na serikali wala silaha, ndo maana US wanadiscuss njia za amani na sio vita. Iran hatagongwa, watagongana na Israel. Shule zimefungwa Israel baada ya makombora ya jana watu Israel wameambiwa wakae mkao wa kukimbia mda wote ukiona kombora linashuka!!Nice observation. Bila Iran kugongwa, hiyo sapoti anayotoa itaendelea.
Msemaji wa kijeshi wa Israel anasema "idadi kubwa" ya makombora ya Iran yalitunguliwa ila hasemi kuhusu yale makombora ambayo hayakutunguliwa yalipiga wapi , ni mangapi na hali ikoje huko ambako watu wamejifungia basement!!Makombora yanaonekana kutua kuelekea yalikokusudiwa wewe unasema yametunguliwa.
Jerusalem ndipo ilipo nyumba moja ya Netanyahu.
Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka...
Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
View: https://twitter.com/alexsalvinews/status/1779293386601566442
FactsHapa naona ni kama US na Usrael walitafuta sababu ya kumshambulia Iran naona kama wamechoka kupambana na wapambe wake yaani Hamas, Hought na Izbulaah ambao ni kama Iran hapati athari za vita za moja kwa moja sasa na yeye ataenda kuonja athari za vita na hapo baada ya vita ndipo kunaweza kuwa na amani ya kudumu middle East. Ilikuwa ni ngumu kutokomeza hivi vikundi vitatu bila kudeal moja kwa moja na anaye watuma na kuwadhamini.
waislam sijui mlilogwa na nanIsrael anazuia Media zisichukue sehemu walizo pigwa, eti aibu ikiwa US anakiri eti madhara c makubwa vile 😄
Watakiri wamepigwa vibaya c aibu kwao, haya c anajidai atalipa tuone sababu Iran kamuambia asisubutu atajuta maisha yake kwa kipigo atakacho pondwa, akigusa Iran.
Uongo, Iranians hate the Islamic regime of Ayatollah.Inadhaniwa kuwa Iran ina silaha za nyuklia ambazo inatafuta pa kwenda kufanya majaribio na inaweza kuwa Israel ambako raia wake wote wanaichukia sana.
Nashangaa unavoiamini sana Al Jazeera ambayo dunia nzima tunajua ipo upande gani.We itakuwa umesoma bongo I can see you miss sth very important in your analysis. Yaani you are carried easily by propaganda and one source of information . Fungua TV Al Jazeera angalia leo utajua kinachoendelea gulf region
Allah yupi?? Acha uongo brotherAllah ndio analinda,huyo Israel anamtumia bila yeye mwenyewe kujijua.Ni kama wewe pia amekutumia kutuletea hizi habari bila wewe kujijua.
dogo Iran hakupiga civilian target zote ni military facilities na sehemu muhimu sana kwa Israel, huyo c kichaa avunje majumba ya raia au kuwauwa watoto na FYI angeweza kurusha hizo drone au missiles bila hata Israel kujuaSawa nikuamini anazuia media, ila humo Israel kuna waislamu, unataka kusema hakuna hata mvaa dera mmoja mwenye simu achuke video dirishani kwa mbali atuonyeshe walau hata kifusi kimoja.
Mpaka natumai mumejifunza kitu, kwamba uwezo wa kuipiga Israel hamna, wacha tusklizie majibu.
Una akili sana huku Urusi yuko na Ukrein hawezi kuingilia IRAN akiwa anapigwa mchina muoga kiduku huwezi kua nae na uhakika USA ni muhuni sanaHapa naona ni kama US na Usrael walitafuta sababu ya kumshambulia Iran naona kama wamechoka kupambana na wapambe wake yaani Hamas, Hought na Izbulaah ambao ni kama Iran hapati athari za vita za moja kwa moja sasa na yeye ataenda kuonja athari za vita na hapo baada ya vita ndipo kunaweza kuwa na amani ya kudumu middle East. Ilikuwa ni ngumu kutokomeza hivi vikundi vitatu bila kudeal moja kwa moja na anaye watuma na kuwadhamini.
Acha ushabiki mandazi nchi zenye nuclear vita hiwezi kua rahisi ivyo au hujui kwamba huyo kibaraka wa US ana nuclearHii sasa ni vita kubwa na mpya between two super powers Iran na Israel maana Iran ni nchi tajiri yenye msuli mkubwa wa kijeshi na pia ina washirika kama Russia na China ambao wanaweza kutuma silaha zikajaribiwe kwa kuipiga Israel, Israel na dunia ya wazungu sasa wamepata kitisho kikubwa na msemaji wa kijeshi wa Israel anaongea kuwa baadhi ya makombora yametua na kuleta hasara na binti mdogo kuumia, Israel wanafanya vikao kujadili mbinu za kujilinda, Israel wameomba msaada wa dharura wa kulindwa kutoka Marekani ambako leo kuna kikao kizito chini ya President wao aliekatisha safari zake na kurudi Washington kuja kujadili barua ya maombi ya Israel na nini kifanyike kuilinda Israel kwa njia za kidiplomasia, kutatua mzozo mpya kwa njia za amani, yaani marekani hawataki kabisa hiyo Vita mpya, haijulikani wanahofu nini.
Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ameitaka Iran kuacha vita hiyo akisema dunia haina tena nguvu kuhimili vita mpya ya giants wawili Iran na Israel, maana balaa lake ni kubwa kwa nchi zote mbili baada ya Iran kusema wanasubiri Israel ijibu. Inadhaniwa kuwa Iran ina silaha za nyuklia ambazo inatafuta pa kwenda kufanya majaribio na inaweza kuwa Israel ambako raia wake wote wanaichukia sana.
Vita sasa ni kubwa maana jana Iran imechukua kibabe baharini meli ya Israel iliyokuwa na shehena ya mzigo wa Israel na Israel hawakuweza kuzuia zaidi ya kulalamika kuomba Iran iwekewe vikwazo na EU.
Shule zimefungwa huko Israel na raia wa Israel wameambiwa na jeshi lao wajilinde. Hofu imetawala.
Raia wa Iran Leo wanakusanyika mitaani na kusherehekea kuanza vita na Israel kwa mara ya kwanza katika historia yao. Kiongozi wa Iran amesema Israel imeingia cha kike kushambulia ubalozi wao wa Syria ambako ni mshirika wao watakoma na wameionya US kuingilia Vita hiyo na kuwa tayari kuadhibiwa na wao washirika wote wanaoisaidia Israel.
Israel imeomba kufanyike kikao leo cha baraza la usalama la umoja wa mataifa kujadili mashambulizi ya Iran huko Israel na kukitaka kikao kilaani mashambulizi hayo. Iran imejibu hoja na kusema kikao kikikaa kilaani mashambulizi ya Israel kwenye ubalozi wao huko Syria ambako kuna maofisa wakubwa wa Iran walikufa.
Kwasasa duniani kuna kususiwa bidhaa za Israel ambako makampuni ya Israel yanafunga biashara na watu kuachishwa kazi, hii ni hatari sana kwa ustawi wa Israel.
Hivi sasa ndio vita kubwa imeanza maana baada ya baadhi ya drones na missiles kutunguliwa na zingine kutua kama Iran inavyodai, Israel ikijibu kama ambavyo wameahidi kulipiza, Iran itatuma ndege zisizo na rubani, sasa ndo kumekucha, Iran inapenda sana vita, iliwahi kupigana na Iraq ya Saddam kwa miaka 8 hadi pale makombora yenye hewa ya sumu yalipotumika na watu kufa kwa wingi huko Iran.
Kitu kizuri Israel inazuia uchukuaji wa picha za athari ya vita na ina iron Dome inayotungua baadhi ya makombora mengine yanapenya.
Wakati huo huo kuna makombora yanatumwa Israel toka Lebanon
Source: Al Jazeera TV mda huu kila kitu kinaongelewa.
Sisi bongo ni nyasi zitakazoumia kwenye vita ya tembo baada ya bei ya mafuta kupanda bei, bei ya bidhaa kupanda na nauli kupanda.
NISISIKIE NYOKO NYOKO CEASE FIRE😄 missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.
Iran ni level ingine.
''Shambulio hilo halikulenga maslahi yoyote ya kiraia au kiuchumi, badala yake lililenga mali za kijeshi, haswa kituo cha kijasusi katika Mlima Hermon ambacho kilitumika kuwezesha shambulio la ubalozi mdogo wa Irani nchini Syria, pamoja na Nevatim Airbase katika jangwa la Negev kutoka. ambapo ndege za kivita za Israel zilizolenga ubalozi mdogo zilizinduliwa.Nimejikuta nacheka, yaani makombora 500 yote hakuna hata moja limepiga popote, kwa keli waburuza dera/kanzu mnatia huruma, huyo hapo Iran ndiye kiongozi wenu nyote...ndiye alikua tegemeo lenu duniani....
brazaj na wavaa dera wenzako mshukuru sana sayansi ya Israel, maana yule akbar akbar ameshindwa kupalinda.
Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka...
Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
View: https://twitter.com/alexsalvinews/status/1779293386601566442