Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

Ulitaka wasifanye vikao?

Kama hizo missiles zimetua,zimeua wangapi mpaka sasa?!
Tumia just fraction of your brain, yaani hata aje nani Israel hawawezi kusema human casualties ila panic yao leo inakupa majibu madhara waliyopata na kiwango cha hofu iliyowaingia maana hata hawasemi watalipiza kisasi. Iran pia ni mshirika wa Turkey ambayo imesimamisha mauzo ya bidhaa zao kwenda Israel. Hii sasa ni vita kubwa na nchi ya Iran na sio ile vita ya upande mmoja Israel kuua wapalestina
 
Tumia just fraction of your brain, yaani hata aje nani Israel hawawezi kusema human casualties ila panic yao leo inakupa majibu madhara waliyopata na kiwango cha hofu iliyowaingia maana hata hawasemi watalipiza kisasi. Iran pia ni mshirika wa Turkey ambayo imesimamisha mauzo ya bidhaa za Israel. Hii sasa ni vita kubwa na nchi sio ile vita ya upande mmoja kuua wapalestina
Hatuendi kwa hisia bali Evidence.

Ina maana huko Israel hakuna mfia dini hata mmoja aliyeweza kuchukua video ya madhara makubwa yaliyotokea akaweka video mtandaoni?!

Watch the F-35I Adir fighter jets return to Nevatim Airbase after successfully protecting Israel’s airspace:

View: https://twitter.com/IDF/status/1779372720863514936?t=QKOoc06UDK60OP1Z7lL-ng&s=19

View attachment 2962829
Kwa hiyo target ya Iran ilikuwa ni kumjeruhi huyo mtoto smbaye amejeruhiwa na manaki ya kombora lililoharibiwa?
Maana mpaka sasa makombora yote yaliyorushwa ndiyo yalichoambulia.
Ngoja apigwe na robo tu ya makombora aliyorusha uone kama Tehran inaenda kusimama.
Ilitafutwa tu sababu ayarusha yeye mwenyewe na moja kwa moja kutoka nchini mwaka na ameingia mazima.
huyu iran ni mshenzi, ni wa kupigwa mpaka aombe mkataba wa amani na israel. Ni mpuuzi atulizwe
 
Hatuendi kwa hisia bali Evidence.

Ina maana huko Israel hakuna mfia dini hata mmoja aliyeweza kuchukua video ya madhara makubwa yaliyotokea akaweka video mtandaoni?!

Watch the F-35I Adir fighter jets return to Nevatim Airbase after successfully protecting Israel’s airspace:

View: https://twitter.com/IDF/status/1779372720863514936?t=QKOoc06UDK60OP1Z7lL-ng&s=19

We itakuwa umesoma bongo I can see you miss sth very important in your analysis. Yaani you are carried easily by propaganda and one source of information . Fungua TV Al Jazeera angalia leo utajua kinachoendelea gulf region
 
We itakuwa umesoma bongo I can see you miss sth very important. Yaani you are carried easily by propaganda. Fungua TV Al Jazeera angalia leo utajua kinachoendelea gulf region
Hasira za nini 😂😂😂😂

Hiyo Al Jazeera naingalia tangu Jana usiku.
 
brazaj na wavaa dera wenzako mshukuru sana sayansi ya Israel, maana yule akbar akbar ameshindwa kupalinda.
Allah ndio analinda,huyo Israel anamtumia bila yeye mwenyewe kujijua.Ni kama wewe pia amekutumia kutuletea hizi habari bila wewe kujijua.
 
"Iran imesema" Yaani mumekosa hata muislamu mmoja Israel mwenye simu aonyeshe walau kombora moja kati ya hizo 500 likipiga sehemu yoyote Israel.
Hii ni aibu kubwa sana kwa waislamu.
Wewe utakuwa huna akili,uneambiwa hivi ni vita vya kidini?Hivi ni vita vya kisiasa sio vya kidini,tumia akili.
 
Israel said Iran must wait for their response, Iran saa hz Ayatollah dela katupa yuko kwenye handaki hana kobaz minywele mgongo mzima kama sokwe
Hivi sio vita vya kidini,mvaa kamba ya mbuzi shingoni.Tumia akili.Hivi ni vita vya kisiasa.Kwa hiyo Nyetapaka kavua kibakuli kichwani,kakimbilia kwrnye handaki ya nyumba ya Bilionea wa Israel.Ikulu kaikimbia.
 
😄 missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.

Iran ni level ingine.
Muajemi hana masihara akikuahidi kipigo lazima akukande.
 
Israel anazuia Media zisichukue sehemu walizo pigwa, eti aibu ikiwa US anakiri eti madhara c makubwa vile 😄

Watakiri wamepigwa vibaya c aibu kwao, haya c anajidai atalipa tuone sababu Iran kamuambia asisubutu atajuta maisha yake kwa kipigo atakacho pondwa, akigusa Iran.
Akili za kiuslamu
 
Hivi sio vita vya kidini,mvaa kamba ya mbuzi shingoni.Tumia akili.Hivi ni vita vya kisiasa.Kwa hiyo Nyetapaka kavua kibakuli kichwani,kakimbilia kwrnye handaki ya nyumba ya Bilionea wa Israel.Ikulu kaikimbia.

Nyoko wee kazi kupiga kichwa chini hadi sugu ktk paji la uso, nyoko hamnaga IQ, taja nchi yoyote ya kiarabu iliyoshinda vita dhidi ya USA or Israel, kazi kufuga ndevu ndefu chafuuu kama beberu zinanuka, akili zero kabisa nyie kutwa kubinuka binuka na kupiga uso chini hadi sugu, waraabu na followers wake hakuna hata vita moja mmewahi shinda dhidi ya Israel or USA, wote mimacho yenu inategemea Iran, sasa Iran anaenda angamizwa, alafu ndio utajua kufuga ndevu ndefu zinanuka kama za beberu ni ukuda, zero brain kabisa
 
Bahati nzuri Israel akifanya retaliation Milion husikika Dunia nzima
 
Hivi sio vita vya kidini,mvaa kamba ya mbuzi shingoni.Tumia akili.Hivi ni vita vya kisiasa.Kwa hiyo Nyetapaka kavua kibakuli kichwani,kakimbilia kwrnye handaki ya nyumba ya Bilionea wa Israel.Ikulu kaikimbia.
We unaelewa siasa, manake Israel inalazimisha kupora kijeshi ardhi ya waarabu wa Palestine kwa msaada na maslahi ya marekani.

Iran imeona hiyo hatari sasa imepata chanzo na inalazimisha vita ambayo huko mbele itaingiza pia nchi zingine za kiarabu ambazo bado zinausoma mchezo mda huu.

Sasa waarabu wanasubiri Israel kujibu, mambo si rahisi kwa Israel kwenye vita hii mpya na nchi kamili ya Iran na sio kundi tu lenye silaha kama Hamas. Hii ni full scale war na kila nchi itaumia
 
😄 drones ndio nyingi yani Iran anatumia tactics ya hali ya juu na Israel anasaidiwa na Jordan na US, yule mwarabu Fala sana.

Missiles zote karibu 90% zimepiga target ni 10% ndio zimeangushwa.

Hizo drone hata atungue 500 ndio anacho taka Iran kumaliza hizo missiles za Air defence system 😄

Ziko nyingine bado njiani mchezo haujaisha bado
Yeye Iran akitumiwa idadi kama hiyo aliyorusha, anaweza kuyazuia!?
 
Yeye Iran akitumiwa idadi kama hiyo aliyorusha, anaweza kuyazuia!?
Hicho ndicho Iran wanataka, Israel ijibu Mapigo ili vita kamili ianze wapate kutest makombora ya nyuklia, na kuna nchi pia zitauzia Iran silaha ili zikatestiwe kwa kupigwa Israel,

sisi huku Buza Mpalanger tumeweka Al Jazeera TV 📺 , kila kitu tunapata live
 
Hapa naona ni kama US na Usrael walitafuta sababu ya kumshambulia Iran naona kama wamechoka kupambana na wapambe wake yaani Hamas, Hought na Izbulaah ambao ni kama Iran hapati athari za vita za moja kwa moja sasa na yeye ataenda kuonja athari za vita na hapo baada ya vita ndipo kunaweza kuwa na amani ya kudumu middle East. Ilikuwa ni ngumu kutokomeza hivi vikundi vitatu bila kudeal moja kwa moja na anaye watuma na kuwadhamini.
Nice observation. Bila Iran kugongwa, hiyo sapoti anayotoa itaendelea.
 
Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka...

Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.

View: https://twitter.com/alexsalvinews/status/1779293386601566442

Makombora yanaonekana kutua kuelekea yalikokusudiwa wewe unasema yametunguliwa.
Jerusalem ndipo ilipo nyumba moja ya Netanyahu.
 
Back
Top Bottom