Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Tumia just fraction of your brain, yaani hata aje nani Israel hawawezi kusema human casualties ila panic yao leo inakupa majibu madhara waliyopata na kiwango cha hofu iliyowaingia maana hata hawasemi watalipiza kisasi. Iran pia ni mshirika wa Turkey ambayo imesimamisha mauzo ya bidhaa zao kwenda Israel. Hii sasa ni vita kubwa na nchi ya Iran na sio ile vita ya upande mmoja Israel kuua wapalestinaUlitaka wasifanye vikao?
Kama hizo missiles zimetua,zimeua wangapi mpaka sasa?!