Kwani huo ni muungano au ukoloni tu! Hebu niambie serikali 3 zinakupunguzia nini wewe Kama wewe!Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huo ni muungano au ukoloni tu! Hebu niambie serikali 3 zinakupunguzia nini wewe Kama wewe!Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Naona kama ni zao la kipapaiSema wewe uliyeumizwa na mimi kujinukuu
Hana lolote analo jua huyo ni kama debe tupu haliwezi kuacha kuvumaKwani huo ni muungano au ukoloni tu! Hebu niambie serikali 3 zinakupunguzia nini wewe Kama wewe!
Kwani nini maana ya historia?Niseme wazi mimi ni mmoja ambaye Historia sekondari nikioata D na hadi Leo huwa nalalamika kuwa baraza la mitihani lilinipendelea ilitakiwa wanipe F Historia mimi siipendi ni somo la kuongelea marehemu...
Kaingia mitini
Ni sawa..muungano ni tatizo la KISIASA.
..CCM-Znz wamekuwa wakitumia vyombo vya dola toka Tanganyika kuwakandamiza waZanzibari wenzao.
..sisi wa-Tanganyika kama tunataka kuulinda muungano ni lazima tuhakikishe HAKI inatenda Zanzibar.
..maingiliano ya kiuchumi, kiulinzi, kibiashara, na kifamilia, yanaweza kudumishwa bila ya Watanganyika kujihusisha na dhambi ya kuunga mkono upande mmoja wa waZnz kudhulumu haki za kisiasa za upande mwingine.
Afutwe kugombea kwa kosa lipi? Huo ushawishi unaotaka kuufanya kwa tume na mambo aliyoyaongea Lissu ni kipi cha hatari zaidi?Tundu Antipas Lissu akifutwa na NEC kugombea urais basi mtulie tuli
History is the Study of past dead humans èventsKwani nini maana ya historia?
Hoja yangu ni moja tuu, Tundu Antipas Lissu athibitishe kauli yake kuwa Hayati Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya MuunganoAmani Msumari, Mleta mada, hoja yako ya msingi ni ipi? Kama muungano huo hauna manufaa yoyote wa nini kwenda nao?
Athibitishe upupu wakeAfutwe kugombea kwa kosa lipi? Huo ushawishi unaotaka kuufanya kwa tume na mambo aliyoyaongea Lissu ni kipi cha hatari zaidi?
Jamaa yule atasingizia kuumwa kigugumizi!Ingependeza kama tume ya uchaguzi ingeweka na kigezo cha lazima kuwa ni muhimu wagombea wote wafanye mdaharo tena kwa lugha ya kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mlishangilia wakati vyama vya siasa vya upinzani vinabakwa huku mnaimba eti kazi tu. Sasa ndio mnapata akili wakati akina Polepole wanatembeza unafiki kwa mwenyekiti wenu mlikuwa jandoni? Mnaambiwa hapa kazi tu mnakenua mimeno. Kuleni hapa kazi tu kimya kimya....Tuliona hili nikaandika huu uzi
CCM versus Opposition: Political Lessons to Learn
Kumbe hii laana ina asili yake pole sanaDuh, huo msemo umenikumbusha looong time, nilimkosa demu akaniambia ,,umechelewa“ , noma sana, ...
Umenikumbusha ile clip ya tukio la kuzama kivuko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa yule atasingizia kuumwa kigugumizi!
Mshana afadhali umekuja.
Achana na rasimu ya Warioba, ningependa uniambie, Lissu amezungumza sawasawa Kama kiongozi tena anayejiandaa kiwa mkuu wa nchi?
Aliposema wazanzibar wa Upinzani, nadhani alimaanisha akina Maalim Seif wamekuwa akishinda tabgu 1995, je ni sahihi kisheria? Hii nikimaanisha kuwa akitakiwa kuthibitisha, atawezana?
Aliposema kuwa Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kuwa kwamba yeye alokataa. Ni kweli? Anaweza atathibitisha Hilo?
Tuanzie hapo?
Mahakama ziko wazi, tangulia na hoja zako, udhibitisho upo wa kumwaga¡Mimi sio mwanasheria "Ni yeye" ni mwanasheria nguli. Anajua kuwa Kati ya mambo ambayo ni very sensitive ni pamoja na suala la Muungano.
Hivi akiambiwa athibitishe kuwa "Hayati Karume alilazimishwa kusaini hati ya Muungano, atathibitisha"?.
Hoja yangu ni moja tuu, Tundu Antipas Lissu athibitishe kauli yake kuwa Hayati Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano
Upuuzi mtupuMuungano ni muhimu saana, Tanganyika na Zanzibar zikitengana usalama wa kila upande utakua mashakani, na mizozo ndo itaibuka mingi
Endeleeni kujifariji 😂. Baada ya uchaguzi, humu ndani patapoa kweli.Ila Mungu fundi sana, hivi Magufuli, angepewa hata robo ya akili ya Lissu, na vile anapenda ajue kidhungu, na kutoa takwimu za kilomita za bara bara tungekoma.
Anachojua kwenye historia ya Tanzania ni Chato. Na maeneo mengingine yenye majina ya kiuasharati tu. Eneo la katerero na mto wake wa maji.
Kumuuliza historia ya Muungano Magufuli ni kumuonea bure.
Miaka 5 inatosha akapunzike, acheni kumsukumia huko.