Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

😁😁 yani tunaishi kama bado tupo karne ya 7.

Kwa hiyo nikija nikakuambia roho wasafi wameniambia wewe ni mke wangu utakubali tu🤪🤪
Watakua wanadanganya...😆😆😆
Hupaswi kupinga kuhusu hizi roho labda kama unataka tuu kuwa mgumu...ref Jesus Christ alivyowaondolea pepo wachafu watu zama zile...yale mapepo yalikua yanafanya destruction ndani ya mtu...ndo kama hvyo akili zinayumba n.k
 
Ngoja tuishi tu humo🤗
 
Back
Top Bottom