Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Uzoefu wangu wa kuogelea ,mtu anapotumbikia kwa kishindo kwanza uzito wake ndio unaamua aende mita kadhaa then kama anajua kuogelea anafanya rejection ya kwenda chini hapo ndio anarudi juu.
Ukitumbukia kama huwezi kuogelea kwa kujipandisha juu kwa utulivu hapo unapanic utaingiwa na maji kweny tundu za mwili ,basi mwili unakuwa mzito kwa kina kile unazidi kwenda chini nina hakika ukifika chini kabisa labda uwe diver au uwe na mtungi wa kutoa support la sivyo unakufa mapema ...Hapo mwili unakuwa mzito baadae kashakufa utapanda juu.
NB: Kina alichodondokea jamaa sio cha kumuua anayejua kuogelea ndani ya nusu saa labda aishiwe na nguvu za kuogelea ...Nimeogelea sana mpaka kukaa lisaa zima kweny maji tena baharini pale labda pawe na mkondo kama nungwi pale ni hatari zaidi.