Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

Umeandika upupu tu,

Kwahiyo mtu akijirusha kwenye dirisha la basi tena likiwa katika mwendo mkali akapoteza maisha, tunaweza kuishitaki kampuni ya mabasi kwa kununua mabasi yenye madirisha ambayo hata mtoto wa miaka mitano anaweza kuruka!!?
 
Dah!...pole kwa wafiwa.
 
Dah!...pole kwa wafiwa.
 
Mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika mara moja amenusurika kifo baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye Boat inayosemwa ni ya Azam iliyokuwa ikitoka Dar es salaam kwenda Unguja leo Februari 11, 2019 majira ya saa 6 mchana.
Sio mara ya kwanza kwa tukio kama hili...
 
da!! usikute majuma wa buza ndo kamchanganya kijana wa wa2!! very sad!!
 
Mama take mzazi keshaongea, alikuwa na ugonjwa wa wasiwasi.....wataalamu watudadavulie vizuri huu ugonjwa

Anxiety disorder

A mental health disorder characterised by feelings of worry, anxiety or fear that are strong enough to interfere with one's daily activities.
Examples of anxiety disorders include panic attacks, obsessive-compulsive disorder and post-traumatic stress disorder.
 

Aliepewa kumchunga kakaa dirishani. Hilo ndo kosa la kwanza. Common sense isn't common.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…